Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Ah sasa wee unasema kugonga sie tunaongelea ndoa.
Vizuri wacha wawagonge...sii wamewekwa hapa duniani kwa ajili ya hiyo kazi
Mbona hata watu wenye vipato vya chini Wana ndoa na zinadumu, kwa hiyo unataka kuniambia ndo ni kwa wenye hela tu
 
Wee kuchepuka kukiwa na hela sii nilishakwambia sababu yake.
Hiyo sababu Haina ukweli huo unaotaka kutuaminisha, wengine hawajazoea kusex na mwanamke au mwanaume mmoja

Anakupenda lakin atatafuta mchepuko hajazoea mtu mmoja "some people love promiscuous way of life"
 
Hiyo sababu Haina ukweli huo unaotaka kutuaminisha, wengine hawajazoea kusex na mwanamke au mwanaume mmoja

Anakupenda lakin atatafuta mchepuko hajazoea mtu mmoja "some people love promiscuous way of life"
Ni kweli watu wanapenda kuchakata mbususu zaidi ya moja.
Ata wee sii unapenda au hupendi mwanawane?
 
Matajiri ndo wengi wao ndoa zao hazidumu na ndo wanatongoza kwa michepuko na hawa sababu ni nin
Brother kataa kubali ila hela imevuruga ndoa nyingi na sababu ,wanawake wengi wao wana akili za kushikiwa.
 
Ktk kumi hawazidi watatu.
 
Nakukumbusha Kuna Wanaume hawana hela Ila wanagonga mademu vibaya mno zaid hata ya wenye hela
Na wao wanagongewa mademu zao na wenye hela haya mambo hayana mwenyewe na ndio maana siku hizi wanawake wengi wana waziri wa mambo ya ndani na waziri wa fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…