Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.

Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu.

Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda.

Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa

😀😀😀😀
 
Aya jipe moyo vamia tu watu mjini.oa weka ndani
Uje ulie lie hapa

Vijana wengi wanadhani Akiwa na pesa ATI ndio atapendwa na Mwanamke😀 kumbe sio kweli.
Mwanamke ni Kama Mwanaume tuu!
Anapenda Kwa hisia za moyoni sio Kwa matamanio ya macho kisa kaona unahela!

Mwanamke akupende alafu umpende alafu muwe na Hela hapo ndio utamu wa mapenzi Utaonekana
 
Tenaa sisi wanawakee ni mabingwaa wa kupretend kupendaa..Ila mjuee tu kwamba tunawezaa kuolewaa lkn Kuna mtuu anakuwaa ameutekaa kbsaa moyooo yaan ule upendo wa ndani kbsaaaa..Na hakuna kitu utawezaa kubadilisha lkn tunaweza kuwepo kwenye ndoa kiroho Safi kbsaa lkn tunapendaa kwingineee[emoji3526][emoji3526]
Nasema tumekwishaaaa!
 
As long as napata mbususu hata Kama anipendi atajua yeye mwenyewe.
 
Kwani mwanamke anatakiwa kupenda, sie tumeagizwa kutii
Una akili, kabla ya mwanamke kuolewa na Mwanaume lazima ajitafakari Ikiwa ataweza kumheshimu. Kupenda wawaachie wanaume.
 
Tatizo wanawake wanachaguliwa hawawezi kuchagua ndiyo maana ni nadra kukuta ndoa ina amani kabisa.
 
Basi msiolewe, unaolewaje na mtu humpendi huo ni unyanyasaji wa kihisia, na nyie ndio mnaongoza kuwanyanyada wanaume kihisia mkipigwa mnakimbilia ustawi wa jamii!! Oleweni na mnaowapenda kama Hawaii kuweni watawa sio lazima muolewe
 
Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao.

Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo
Ndoa inakuwa ndoana maana hakuna feelings wala nidhamu.

Ni ngumu mwanamke kusex na mtu asiempenda,ni ngumu kumuheshimu mwanaume usiempenda.

Mbaya zaidi itokee huyo mwanaume alipendewa fedha na fedha imeisha ,basi hyo ndoa ni inakuwa jehanum kabisa
Very true... [emoji817]
 
Back
Top Bottom