Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa


😀😀😀😀
 
Aya jipe moyo vamia tu watu mjini.oa weka ndani
Uje ulie lie hapa

Vijana wengi wanadhani Akiwa na pesa ATI ndio atapendwa na Mwanamke😀 kumbe sio kweli.
Mwanamke ni Kama Mwanaume tuu!
Anapenda Kwa hisia za moyoni sio Kwa matamanio ya macho kisa kaona unahela!

Mwanamke akupende alafu umpende alafu muwe na Hela hapo ndio utamu wa mapenzi Utaonekana
 
Nasema tumekwishaaaa!
 
As long as napata mbususu hata Kama anipendi atajua yeye mwenyewe.
 
Kwani mwanamke anatakiwa kupenda, sie tumeagizwa kutii
Una akili, kabla ya mwanamke kuolewa na Mwanaume lazima ajitafakari Ikiwa ataweza kumheshimu. Kupenda wawaachie wanaume.
 
Tatizo wanawake wanachaguliwa hawawezi kuchagua ndiyo maana ni nadra kukuta ndoa ina amani kabisa.
 
Basi msiolewe, unaolewaje na mtu humpendi huo ni unyanyasaji wa kihisia, na nyie ndio mnaongoza kuwanyanyada wanaume kihisia mkipigwa mnakimbilia ustawi wa jamii!! Oleweni na mnaowapenda kama Hawaii kuweni watawa sio lazima muolewe
 
Very true... [emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…