Wanawake tunapenda wanaume wenye pesa na gari

Kama ni mwanamke basi ni wale wa kuja wafuga mikucha, na minywele mpaka kwa visigino... kama ni wakiume basi marinda huna, wanaume washatatua kitamboo!
 
Kwenu mnavyo hivyo ulivyotaja??au Unataka uneemeshwe na Mtoto wa Mwanamke mwenzio??
 
Kipindi hicho baba yako hamiliki hata guta lakini unataka mwanaume mwenye gari.

Nyumba uliyozaliwa ni ya makuti na mpaka leo ipo hivyo hivyo halafu unatarajia kijana wa watu ndio aje kuwa mkombozi wa ufukara wenu.

Unabana pua kabisa anyipangie nyabata, pumbafu. Pambana na hali yako.
Kwa hasira hizi Wewe utakuwa una degree halafu huna hela.
 
Neno moja kwako mtoa mada
FB_IMG_1697007250313.jpg
 
Kipindi hicho baba yako hamiliki hata guta lakini unataka mwanaume mwenye gari.

Nyumba uliyozaliwa ni ya makuti na mpaka leo ipo hivyo hivyo halafu unatarajia kijana wa watu ndio aje kuwa mkombozi wa ufukara wenu.

Unabana pua kabisa anyipangie nyabata, pumbafu. Pambana na hali yako.
Tafuta hela! Siunaona wenzako wenye pesa wamecomment bila hasira.
 
Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7]

Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke usipewe[emoji1][emoji1], kama ni gari basi sawa hilo, nyumba kali yaani ni nzuri kabisa mwanaume akupangie Tabata huko.

Baby nahitaji laki 2 ya kusuka, imekuja. Baby nataka hela ya kucha na kagauni kazuri nimekaona Mlimani City. Yaani raha ya Dunia hii upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu maana mapenzi hata ngamia na njia anayo, bali atimize majukumu yako yote.

Kiukweli mwanaume tafuta hela siyo [emoji240] doggy style, kifo cha mende hata kwa mama kibonge au kwa lulenge utapewa.

Nimemaliza
Hivi yule mwanamke wa buswelu misidi Koo 42 pamoja na risasi saba alikosa nini labda,Mana Kama gari alikuwa nayo Tena mbili na nyumba mbili Kali za kisasa. Mmewe alifanya kazi mgodini na akiwa na boti kadhaa za uvuvi.
Ama kila mmoja ana mahitaji yake.
Pia mke wa bill gate na Jeff Benzos walikosa Nini mpaka wakaomba talaka ,jojina wa ronado Hana ndoa Ila wanaishi wanazaa tu watt
 
Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7]

Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke usipewe[emoji1][emoji1], kama ni gari basi sawa hilo, nyumba kali yaani ni nzuri kabisa mwanaume akupangie Tabata huko.

Baby nahitaji laki 2 ya kusuka, imekuja. Baby nataka hela ya kucha na kagauni kazuri nimekaona Mlimani City. Yaani raha ya Dunia hii upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu maana mapenzi hata ngamia na njia anayo, bali atimize majukumu yako yote.

Kiukweli mwanaume tafuta hela siyo [emoji240] doggy style, kifo cha mende hata kwa mama kibonge au kwa lulenge utapewa.

Nimemaliza
Yani hpo unadhihirsha kuwa unapenda tu hela na sio mapnz ya kweli, hzo ni dalili za umalaya huo na ufuska
 
Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7]

Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke usipewe[emoji1][emoji1], kama ni gari basi sawa hilo, nyumba kali yaani ni nzuri kabisa mwanaume akupangie Tabata huko.

Baby nahitaji laki 2 ya kusuka, imekuja. Baby nataka hela ya kucha na kagauni kazuri nimekaona Mlimani City. Yaani raha ya Dunia hii upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu maana mapenzi hata ngamia na njia anayo, bali atimize majukumu yako yote.

Kiukweli mwanaume tafuta hela siyo [emoji240] doggy style, kifo cha mende hata kwa mama kibonge au kwa lulenge utapewa.

Nimemaliza
tiGo unatoa?
 
Hapo unamgeuza mwanaume punda hakuna mapenzi hapo. Kwa nini usitafute hela kwa jasho lako unataka uwe kupe kwa mtoto wa mwanamke mwenzako.
 
Back
Top Bottom