Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐧𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐬𝐡𝐢𝐝𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐚𝐥𝐢Kama ni mwanamke basi ni wale wa kuja wafuga mikucha, na minywele mpaka kwa visigino... kama ni wakiume basi marinda huna, wanaume washatatua kitamboo!
As long as simps wapo, gold diggers hawawezi kuishaGold diggers
Pesa,MTU anaweza akawa na pesa na akawa si mtoaji mkuuKutoa nini 🤓🤓🤓🙌🙌🙌
Afu akaja kukuzingua baadaeNinyi ndio mnaofilw@ga
Au ukiombwa tu 071 hukawii kutoa!
Sema nini.. bora wewe unaeonesha makucha yako kuliko wale wa nakupenda tu ulivyoo
NdiooooAfu akaja kukuzingua baadae
Ahahahaha bado tupo pale palePesa,MTU anaweza akawa na pesa na akawa si mtoaji mkuu
kaja juzi na Moto wa kifuu, aibu naona Mimi, ndomana tunachambwaga humu kwa Mambo Kama haya.Yani hpo unadhihirsha kuwa unapenda tu hela na sio mapnz ya kweli, hzo ni dalili za umalaya huo na ufuska
😂😂😝Ahahahaha bado tupo pale pale
Unacheka😂😂🙌🙌🙌
Unacheka😂😂🙌🙌🙌
Watu mnawaza wenzenu watoe tuu 😂😂😂😂😂😂😂sasa nifanye nn Mimi
Umemalizaa haswaaa.Anaweza kuwa na hela na asiwe mtoaji…
Gari indrive zipo.. karne hii sio ya kuhadaika na baby walkers za watu. So childish bhana.