Wanawake tunapenda wanaume wenye pesa na gari

Kama ni mwanamke basi ni wale wa kuja wafuga mikucha, na minywele mpaka kwa visigino... kama ni wakiume basi marinda huna, wanaume washatatua kitamboo!
 
Kwenu mnavyo hivyo ulivyotaja??au Unataka uneemeshwe na Mtoto wa Mwanamke mwenzio??
 
Kwa hasira hizi Wewe utakuwa una degree halafu huna hela.
 
Tafuta hela! Siunaona wenzako wenye pesa wamecomment bila hasira.
 
Hivi yule mwanamke wa buswelu misidi Koo 42 pamoja na risasi saba alikosa nini labda,Mana Kama gari alikuwa nayo Tena mbili na nyumba mbili Kali za kisasa. Mmewe alifanya kazi mgodini na akiwa na boti kadhaa za uvuvi.
Ama kila mmoja ana mahitaji yake.
Pia mke wa bill gate na Jeff Benzos walikosa Nini mpaka wakaomba talaka ,jojina wa ronado Hana ndoa Ila wanaishi wanazaa tu watt
 
Yani hpo unadhihirsha kuwa unapenda tu hela na sio mapnz ya kweli, hzo ni dalili za umalaya huo na ufuska
 
tiGo unatoa?
 
Hata asiye na pesa huwa anapendwa, hapo ndio napowakubali wanawake.
 
Hapo unamgeuza mwanaume punda hakuna mapenzi hapo. Kwa nini usitafute hela kwa jasho lako unataka uwe kupe kwa mtoto wa mwanamke mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…