Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #21
“Tunapozungumzia kwenye ajira, Serikali nayo inawaangalia sana wanawake, pale ambapo kunakuwa na ushindani wa mwanamke na mwanaume basi nafasi ya kwanza anapewa mwanamke. Hayo ni malengo ya Serikali ya kufikia 50/50.” – Kassim Majaliwa, Waziri MkuuWanawake 50/50 wanataka kwenye mali tu