Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pambaneni na hali zenu tu, mpaka mvua ziishe.
Hizo gharama zooote ulizoziorodhesha ni UNNECESSARY.SIDHAN wewe kwenye makuzi yako kama ulitumiaWakati unasifia hii hali ya hewa, napenda kukujulisha yafuatayo:
1)Huggies ni Tshs 38,000/= kwa Pack moja
2)SMA Milk Tshs 52,000/= kwa kopo
3)Bima ya mtoto ya Afya 1,540,000/= kwa mwaka
4)Gharama za mama kujifungua hospitali nzuri si chini ya Tshs 700,000/=
5)Baby Walker Tshs 110,000/=
Sasa ww jishaue tu kujitia una jini mahaba.