Wanawake ,Tupeni Ushirikiano katika kipindi hiki cha mvua,

Wanawake ,Tupeni Ushirikiano katika kipindi hiki cha mvua,

Na mkitupachika mimba msikimbie!!! Ni kipindi muafaka pia
 
Wakati unasifia hii hali ya hewa, napenda kukujulisha yafuatayo:
1)Huggies ni Tshs 38,000/= kwa Pack moja
2)SMA Milk Tshs 52,000/= kwa kopo
3)Bima ya mtoto ya Afya 1,540,000/= kwa mwaka
4)Gharama za mama kujifungua hospitali nzuri si chini ya Tshs 700,000/=
5)Baby Walker Tshs 110,000/=

Sasa ww jishaue tu kujitia una jini mahaba.
Hizo gharama zooote ulizoziorodhesha ni UNNECESSARY.SIDHAN wewe kwenye makuzi yako kama ulitumia
 
Back
Top Bottom