Hawa unawatetea wewe hawa!! ngoja siku wakulize ndo utajua mbivu na mbichi......sisi midomo yetu ndo ilivo ni maumbile kusema hovyo ajili ya hormones zetu sasa tujikatae?? utatoaje hizo homons mwilini sasa??
sisi kuongea km cherehani ndo zetu babu, tiba kwetu hata wao wanapenda! kusikiliza kinanda sauti nyororo! tena wanasimuliana huko makazini mwao, wanatuitaga ''kimeo changu, jana bwana .... hikooo......
chunguza tu yaani siku ukisema sana
atakupiga nazo zooote! af anaamka amefurahiiiiiiiiii! mwee mtuachege hukooo! hatukom
Hujanielewa dada nimeongelea maneno mabaya hata km ni ww mumeo akikuongelesha vibaya lazima umaindi hata shoo unaweza kumnyima.Hawa unawatetea wewe hawa!! ngoja siku wakulize ndo utajua mbivu na mbichi......sisi midomo yetu ndo ilivo ni maumbile kusema hovyo ajili ya hormones zetu sasa tujikatae?? utatoaje hizo homons mwilini sasa??
sisi kuongea km cherehani ndo zetu babu, tiba kwetu hata wao wanapenda! kusikiliza kinanda sauti nyororo! tena wanasimuliana huko makazini mwao, wanatuitaga ''kimeo changu, jana bwana .... hikooo......
chunguza tu yaani siku ukisema sana
atakupiga nazo zooote! af anaamka amefurahiiiiiiiiii! mwee mtuachege hukooo! hatukomi!
Ubaya ni tafsiri na akili yako mwenyewe! vile unavyo yapokea bichwani mwako huko, na gujiroho gwa kuzimu! wala siyo ya muongeaji!......Mfano Mume ananunua gari ya familia lkn mke anaona sasaHujanielewa dada nimeongelea maneno mabaya hata km ni ww mumeo akikuongelesha vibaya lazima umaindi hata shoo unaweza kumnyima.
Naomba uongezewe ulinzi tafadhaliNi kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".
Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani.
Dada unajijua huingizi kipato kinachoweza kumudu mahitaji ya familia yako na hata kama unabiashara yako lakini asilimia 80 mume anahudumia familia. Embu tusijisahau rafiki zangu, huenda ni kweli kuna namna mwanaume anakosea au hajatoa pesa kwa wakati imepelekea na wewe ukapata changamoto fulani hapo nyumbani, ndugu yangu ndiyo unune siku nzima jamani?
Mumeo katoka kazini kachoka hujui hata amepitia mangapi huko kazini, karudi nyumbani akitegemea kupumzika, kuliwazwa wewe ndio umenuna hapo, ukiulizwa kelele zinaanza.
Dada mwenye tabia hii chunguza vizuri, wewe ndiyo sababu ya mumeo kuwa mlevi kupindukia. Wewe ndiyo sababu anachelewa kurudi au harudi kabisa. Wewe ndiyo unawapa nafasi kubwa michepuko.
Halafu utasikia mdada anaongea kwa ujasiri, huyu mwanaume hana shukrani amekosa nini kwangu jamani?
Wanawake tusijisahau, mume anahitaji heshima.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dawa ya mdomo ni kumuachia nyumbaMwanamke mwenye mdomo Ni sumu, Nyumba yako unaiona Kama police centralView attachment 2381738
Kama hormones zinakupelekesha then nenda hospital wakasaidie kuzibalance. Kama umeshindwa kwenda hospital then nenda hata jalalani ukaongee ukimaliza hormones zako urudi ndani na adabu mdomoni.Hawa unawatetea wewe hawa!! ngoja siku wakulize ndo utajua mbivu na mbichi......sisi midomo yetu ndo ilivo ni maumbile kusema hovyo ajili ya hormones zetu sasa tujikatae?? utatoaje hizo homons mwilini sasa??
sisi kuongea km cherehani ndo zetu babu, tiba kwetu hata wao wanapenda! kusikiliza kinanda sauti nyororo! tena wanasimuliana huko makazini mwao, wanatuitaga ''kimeo changu, jana bwana .... hikooo......
chunguza tu yaani siku ukisema sana
atakupiga nazo zooote! af anaamka amefurahiiiiiiiiii! mwee mtuachege hukooo! hatukomi!
Basi wewe utakuwa Mwenzetu kabisaa! Dume kabisa anilambe makofi weee!! wkt nina kipigio chake nakijua? ataanzaje kwanza? ebu piga tuone km weye mwanume kweli piga...!!wanaume hormones zetu huwa tukipigiwa makelele na mwanamke asiyejitambua na hana adabu huwa zinatuambia kuwalamba makofi na mabao ili kuzibalance hizo hormones.
πππ maisha ndio yalivyo sijapewa ahad yoyote kaka hata ss tunamapungufu na makwazo mengi sn tunakumbushana tu.Hapo Judithkaunda katoka kuahidiwa samsung S21 na mumewe, ndo anaona mapenzi yote ni yake, na anajikuta anayajua!
Siku mkikosana urudi hapa kutuponda wanaume[emoji3062] Shwain
Nataka ku SUBSCRIBE DADA