Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hutaki kelele mdogo wanguAsante kutukumbusha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutaki kelele mdogo wanguAsante kutukumbusha!
Sawa kabisa siku nyingine unamwambia mume leo twende taifa bwana tukamcheki mnyama....mkitoka huko unamwambia bby ebu nawe njoo upige goli zako tatu🤣🤣🤣🤣Walaaa ni kweli tuna midomo,bila midomo yetu nyumba haichangamki bwana,mapenzi yanoge leo nuna kesho cheka keshokutwa fanya hili siku nyingine onyesha mahaba mpk vinyweleo visimame n.k .nk yani maisha ya ndoa mkiyapeleka straight kama sala ya komunyo hayanogiii. Ila midomo isivuke mipaka mpk kuvunjiana heshima.
Ahhahah hapo itatategemeana na ushindi mkipigwa huko uwanjani kila mtu anarudi na njia yakeSawa kabisa siku nyingine unamwambia mume leo twende taifa bwana tukamcheki mnyama....mkitoka huko unamwambia bby ebu nawe njoo upige goli zako tatu🤣🤣🤣🤣
Ah mkipigwa sii ndio mnapata cha kuongea....sasa pale yule kibubdenis alikuwa anafanya nini? Kapombe pale sii angepiga one two na chama alafu amimine crosss. Mara mume anajiongea ah pole mammy, ebu twende pale ukale mishkaki kidogo upoze machungu alafu twede homeAhhahah hapo itatategemeana na ushindi mkipigwa huko uwanjani kila mtu anarudi na njia yake
Daaaah ujengewe mnara aiseee.Ni kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".
Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani.
Dada unajijua huingizi kipato kinachoweza kumudu mahitaji ya familia yako na hata kama unabiashara yako lakini asilimia 80 mume anahudumia familia. Embu tusijisahau rafiki zangu, huenda ni kweli kuna namna mwanaume anakosea au hajatoa pesa kwa wakati imepelekea na wewe ukapata changamoto fulani hapo nyumbani, ndugu yangu ndiyo unune siku nzima jamani?
Mumeo katoka kazini kachoka hujui hata amepitia mangapi huko kazini, karudi nyumbani akitegemea kupumzika, kuliwazwa wewe ndio umenuna hapo, ukiulizwa kelele zinaanza.
Dada mwenye tabia hii chunguza vizuri, wewe ndiyo sababu ya mumeo kuwa mlevi kupindukia. Wewe ndiyo sababu anachelewa kurudi au harudi kabisa. Wewe ndiyo unawapa nafasi kubwa michepuko.
Halafu utasikia mdada anaongea kwa ujasiri, huyu mwanaume hana shukrani amekosa nini kwangu jamani?
Wanawake tusijisahau, mume anahitaji heshima.
Unakuta na mume mwenye moody zake sasa. Hataki kusikia amepigwa haahahaAh mkipigwa sii ndio mnapata cha kuongea....sasa pale yule kibubdenis alikuwa anafanya nini? Kapombe pale sii angepiga one two na chama alafu amimine crosss. Mara mume anajiongea ah pole mammy, ebu twende pale ukale mishkaki kidogo upoze machungu alafu twede home
Hamna mwanaume mhumu kwa mke mwerevuUnakuta na mume mwenye moody zake sasa. Hataki kusikia amepigwa haahaha
Kwenye ushabiki uwerevu huwekw pembeniHamna mwanaume mhumu kwa mke mwerevu
Ongeza ka sauti wamamama walioko huku nyuma et hawakusikii kile wasema!
AsanteNi kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".