Judithkaunda
Member
- Aug 21, 2022
- 90
- 231
- Thread starter
-
- #41
ππHapa nlikuwa nawasiliana na Hawa waliojenga sanamu la pale Posta. Mnara wa Askari. Bado nawatafuta wale wakandarasi. Then sasa naleta Muswada kwa Wanaume humu ndani na Wanawame wenye Akili. Huyu Mleta Hoja Sanamu yake Ikawekwe wapi?
π€£π€£π€£π€£Nachangia nondo mbili, na mifuko mitatu ya cement kwenye ujenzi wa sanamu la huyu dada!
Mimi hayo makelele huwa nayapuuza yanaingia sikio hili na kutokea upandr wa pili na yananisaidia kupata usingizi..Ni kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".
Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani.
Dada unajijua huingizi kipato kinachoweza kumudu mahitaji ya familia yako na hata kama unabiashara yako lakini asilimia 80 mume anahudumia familia. Embu tusijisahau rafiki zangu, huenda ni kweli kuna namna mwanaume anakosea au hajatoa pesa kwa wakati imepelekea na wewe ukapata changamoto fulani hapo nyumbani, ndugu yangu ndiyo unune siku nzima jamani?
Mumeo katoka kazini kachoka hujui hata amepitia mangapi huko kazini, karudi nyumbani akitegemea kupumzika, kuliwazwa wewe ndio umenuna hapo, ukiulizwa kelele zinaanza.
Dada mwenye tabia hii chunguza vizuri, wewe ndiyo sababu ya mumeo kuwa mlevi kupindukia. Wewe ndiyo sababu anachelewa kurudi au harudi kabisa. Wewe ndiyo unawapa nafasi kubwa michepuko.
Halafu utasikia mdada anaongea kwa ujasiri, huyu mwanaume hana shukrani amekosa nini kwangu jamani?
Wanawake tusijisahau, mume anahitaji heshima.
Upewe ulizii Mkuu huyu,na lijengwe Lisanamu pale kwenye Jiji letu pendwa la KaskaziniNi kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".
Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani.
Dada unajijua huingizi kipato kinachoweza kumudu mahitaji ya familia yako na hata kama unabiashara yako lakini asilimia 80 mume anahudumia familia. Embu tusijisahau rafiki zangu, huenda ni kweli kuna namna mwanaume anakosea au hajatoa pesa kwa wakati imepelekea na wewe ukapata changamoto fulani hapo nyumbani, ndugu yangu ndiyo unune siku nzima jamani?
Mumeo katoka kazini kachoka hujui hata amepitia mangapi huko kazini, karudi nyumbani akitegemea kupumzika, kuliwazwa wewe ndio umenuna hapo, ukiulizwa kelele zinaanza.
Dada mwenye tabia hii chunguza vizuri, wewe ndiyo sababu ya mumeo kuwa mlevi kupindukia. Wewe ndiyo sababu anachelewa kurudi au harudi kabisa. Wewe ndiyo unawapa nafasi kubwa michepuko.
Halafu utasikia mdada anaongea kwa ujasiri, huyu mwanaume hana shukrani amekosa nini kwangu jamani?
Wanawake tusijisahau, mume anahitaji heshima.
Hapo unajiona unaakili mwenyewe baada ya kuhara namna hiiBasi wewe utakuwa Mwenzetu kabisaa! Dume kabisa anilambe makofi weee!! wkt nina kipigio chake nakijua? ataanzaje kwanza? ebu piga tuone km weye mwanume kweli piga...!!
tena sisi kwa kipigo chetu bab kubwa huwaga mnalia kwa Besi uongo???
si unaona kule face buku kuna midume mi lainiii! kma sisi tu! yamkini weye ni mojawapo.......sidhani hapo ulipo unatamani kulia! ni ke tu Duniani anaemliza Me rijali, Majemadari wa Dunia km Saddam Hussein!
Alipo nyongwa na dume hakulia! ....lkn angenyongwa na ke angelia sana.....Leo hii mnasota Duniani humu ajili ya papuchi zetu hizi! hizi! uongo!...km kweli jaribu kumlamba mke makofi uozee kusiko julikana!
sI Unajua kulamba watu makofi nenda kituoni au hapo kariakoo mlambe kofi mkeo moja tuu uone moto wake!! lkn ke akikulamba makofi kariakoo aaaah!! raha tuu yaani! .......si jaribu uoneee!
usilete za Mtwara wewe zoba! waliosema kE Wana run Dunia walimaanisha!...hii ni Dunia Mali yao, nyie me ni vibarua wa hiari tu! ukisusa wenzio wala!..kazi kwako .............upige! mbususu!!....... thubutuuu!
wenye hasira wanao jua kuzila watakuua! live!... ....... Hakiii ya naniliu ndo siku hiyo utamjua Mume mwenza!
Hiki kweli kiredio Cha mtaaa.Basi wewe utakuwa Mwenzetu kabisaa! Dume kabisa anilambe makofi weee!! wkt nina kipigio chake nakijua? ataanzaje kwanza? ebu piga tuone km weye mwanume kweli piga...!!
tena sisi kwa kipigo chetu bab kubwa huwaga mnalia kwa Besi uongo???
si unaona kule face buku kuna midume mi lainiii! kma sisi tu! yamkini weye ni mojawapo.......sidhani hapo ulipo unatamani kulia! ni ke tu Duniani anaemliza Me rijali, Majemadari wa Dunia km Saddam Hussein!
Alipo nyongwa na dume hakulia! ....lkn angenyongwa na ke angelia sana.....Leo hii mnasota Duniani humu ajili ya papuchi zetu hizi! hizi! uongo!...km kweli jaribu kumlamba mke makofi uozee kusiko julikana!
sI Unajua kulamba watu makofi nenda kituoni au hapo kariakoo mlambe kofi mkeo moja tuu uone moto wake!! lkn ke akikulamba makofi kariakoo aaaah!! raha tuu yaani! .......si jaribu uoneee!
usilete za Mtwara wewe zoba! waliosema kE Wana run Dunia walimaanisha!...hii ni Dunia Mali yao, nyie me ni vibarua wa hiari tu! ukisusa wenzio wala!..kazi kwako .............upige! mbususu!!....... thubutuuu!
wenye hasira wanao jua kuzila watakuua! live!... ....... Hakiii ya naniliu ndo siku hiyo utamjua Mume mwenza!
Chagua tukujengee wapi sanamu lako?Ni kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".
Leo ntaongelea wenzangu na mie mama wa nyumbani.
Dada unajijua huingizi kipato kinachoweza kumudu mahitaji ya familia yako na hata kama unabiashara yako lakini asilimia 80 mume anahudumia familia. Embu tusijisahau rafiki zangu, huenda ni kweli kuna namna mwanaume anakosea au hajatoa pesa kwa wakati imepelekea na wewe ukapata changamoto fulani hapo nyumbani, ndugu yangu ndiyo unune siku nzima jamani?
Mumeo katoka kazini kachoka hujui hata amepitia mangapi huko kazini, karudi nyumbani akitegemea kupumzika, kuliwazwa wewe ndio umenuna hapo, ukiulizwa kelele zinaanza.
Dada mwenye tabia hii chunguza vizuri, wewe ndiyo sababu ya mumeo kuwa mlevi kupindukia. Wewe ndiyo sababu anachelewa kurudi au harudi kabisa. Wewe ndiyo unawapa nafasi kubwa michepuko.
Halafu utasikia mdada anaongea kwa ujasiri, huyu mwanaume hana shukrani amekosa nini kwangu jamani?
Wanawake tusijisahau, mume anahitaji heshima.
Teh! teheee! teee! ..... Ukiona hivo umenikubali vibaya sana! kamata hekima bure dogo zitakusaidia! na ndo ukweli kwani hamuliagiii besi nyie vimburu??...si unaona wenzako wamepiga kimyaaa!!Hapo unajiona unaakili mwenyewe baada ya kuhara namna hii
Haswa nimeongelea wamama wa nyumbani hao wengine kesi Yao tofauti kidogo ingawa wapo wenye mdomo lakn wanaonekana km wanawanyanyasa kumbe ndio asili yetu kuongea.Swala la kutoingiza kipato na kuwa na mdomo vinahusiana?maana naona hapa umejikita kwenye wale wasiokuwa na kipato
SI ukusirize upate maarifa jidai mjanja ufe kibudu!Hiki kweli kiredio Cha mtaaa.
Khaaaaa!!
Walaaa ni kweli tuna midomo,bila midomo yetu nyumba haichangamki bwana,mapenzi yanoge leo nuna kesho cheka keshokutwa fanya hili siku nyingine onyesha mahaba mpk vinyweleo visimame n.k .nk yani maisha ya ndoa mkiyapeleka straight kama sala ya komunyo hayanogiii. Ila midomo isivuke mipaka mpk kuvunjiana heshima.Watakuponda na kusema umewasaliti wanawake wenzio
ππWalaaa ni kweli tuna midomo,bila midomo yetu nyumba haichangamki bwana,mapenzi yanoge leo nuna kesho cheka keshokutwa fanya hili siku nyingine onyesha mahaba mpk vinyweleo visimame n.k .nk yani maisha ya ndoa mkiyapeleka straight kama sala ya komunyo hayanogiii. Ila midomo isivuke mipaka mpk kuvunjiana heshima.