Wanawake tupunguze mdomo, tunawaponza waume zetu wenyewe

Sawa kabisa siku nyingine unamwambia mume leo twende taifa bwana tukamcheki mnyama....mkitoka huko unamwambia bby ebu nawe njoo upige goli zako tatu🤣🤣🤣🤣
 
Sawa kabisa siku nyingine unamwambia mume leo twende taifa bwana tukamcheki mnyama....mkitoka huko unamwambia bby ebu nawe njoo upige goli zako tatu🤣🤣🤣🤣
Ahhahah hapo itatategemeana na ushindi mkipigwa huko uwanjani kila mtu anarudi na njia yake
 
Ahhahah hapo itatategemeana na ushindi mkipigwa huko uwanjani kila mtu anarudi na njia yake
Ah mkipigwa sii ndio mnapata cha kuongea....sasa pale yule kibubdenis alikuwa anafanya nini? Kapombe pale sii angepiga one two na chama alafu amimine crosss. Mara mume anajiongea ah pole mammy, ebu twende pale ukale mishkaki kidogo upoze machungu alafu twede home
 
Daaaah ujengewe mnara aiseee.
 
Unakuta na mume mwenye moody zake sasa. Hataki kusikia amepigwa haahaha
 
Ongeza ka sauti wamamama walioko huku nyuma et hawakusikii kile wasema!

Na screenshot nasave [emoji1787].
Umeongea sana huwa najiuliza mwanamke unakuta hana anachochangia zaidi ya sex ukitoa hayo ni majukumu ya nyumban halafu kiburi na kelele muda wote kwanini mwanaume usishinde Bar
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…