Wanawake tusaidieni kutupa majibu ya hili swala


You have made my morning...lol its about time to stop point fingers on one another and start loving each other..
 

Nani kakwambia revenge lazima urushe ngumi bana...ni kwakujipa pumziko so huyo mume aone asione haisumbui so long yeye mwanamke kapata tulizo..na impact utaiona tu maana kitabia ataanza kutokukujali nahilo huwaumiza sana spishi ya kiume
 
Nani kakwambia revenge lazima urushe ngumi bana...ni kwakujipa pumziko so huyo mume aone asione haisumbui so long yeye mwanamke kapata tulizo..na impact utaiona tu maana kitabia ataanza kutokukujali nahilo huwaumiza sana spishi ya kiume

bidada Heaven hawa watu wasikuchoshe to me dawa ya mwanaume jeuri ni moja tu and i will dare do it hata kama watu watanipinga.

timiza wajibu wako ndani as mama na mke wa mtu, jipambe sana yaani nguo nzuri za maana hata kama niza mtumba usikose manyanya kinondoni na mwenge stend pana husu hapa,ukimaliza toka kajipe raha usimuulize kwanini kafanya hivi wala vile inauma bt kaa kimya kisha tafuta mbadala mtu wa heshima zake ambaye hata kupa shombo la matatizo na ukitoka naye usimweleze reason wewe fanya ni for fun. siku home kimechacha weye wajongea kwake taratibu ukirudi mwepesiiii.................wanawaume ni watu wa ajabu sana aisee na huwa wanatumia ule msemo atafanya nini huyu so weye huna haja ya kumuonyesha unapopakwenda weye alimradi wajua moyo wako unapatepo liwazo somewhere
 
Last edited by a moderator:
kila mtu ana uhuru wa kufanya atakacho hata katika sexual matters, kucheat achit mwanaume akichit mwanamke malaya! waacheni na wao wafanye watakavyo
 
Hivi nyuchi zenu nyie wanaume hazina thamani? Ama kwa vile haziishi kama kipande cha mbuni? Kaeni vizuri na wenza wenu, manake hata nyie mnavyotoka nje mnachapwa sijui kuchapa! I wish wanaume wangethamini miili yao kama ambavyo wanalazimishia wanawake wajithamini!
Wehu sana revange gan unapeleka uchi wako mwenyewe ukachapwe.
 
Zikiisha anakaa pending anasubiria hasira zingine. Kwani pm zinahama? Tena namtumia 'fyi, as above' anajua twende kazi!

habari ndio iyo best, wao wanaona za ke tu za kuthamini wanasahau zakwao. baeleze wanaume kiini cha mabadiliko
 
Inabidi afungue kampuni ya kutuliza hasira za wamama. Wateja watamzidi!

This hollier than thou attitude inanichosha kwa kweli! Ati men wakiona hawajaridhika na usafi wa nyumbani wanaenda nje ya ndoa, mwanamke akitoka yeye anafanya 'stupid revenge'

Mwaka huu mntanyooka hehehe!
Haya The Boss King'asti asha-pm....jiandae p.m yangu kesho..
 
Hehehe! Wamelianzisha sie tunamalizia!
Wanawake wengi, I can say ukiacha physical abuse wanapata emotional abuse (mtu kila siku unarudi kwako saa nane za usiku, mashosti wanaume wazima mnang'ang'aniana bar,kha!) Na kubwa zaidi cheatings! Haya urudi saa nane na kisirani juu! Akhuu!
habari ndio iyo best, wao wanaona za ke tu za kuthamini wanasahau zakwao. baeleze wanaume kiini cha mabadiliko
 
mmmmmhhhhhhh hebu endeleeni kwanza nitarudi baadaye! unakuta mtu ni mwanachama wa revola mpaka imesinyaa na kupinda juu ka banio la ugali! hata kabla ya ugomvi unatafuta tu assistance, ikibidi hata dildo zahusika! mbona nyie huwa mnatudiss hata kabla ya ugomvi, yaani mtu anaamua tu anatoka na best friend wako, ila nyie mnakera. sisapoti revenge ila napinga UBINAFSI WENU MEN!
 

ndio maana nasema, wao ndio kiini cha mabadiliko. to me siwez hata siku moja eti kufa kishujaa, unavumilia nini wakati huna raha? najipa raha ndani ni makutano tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…