Jinsi wanaume walivyokuja juu utadhani moto wa kifuu ilhali wao ndio wanawafungulia mlango wanawake wao kutafuta faraja nje!
Wanaume mnatakiwa muelewa hata sie wanawake tuna mioyo ya damu kama nyie na sio mioyo ya chuma kama mnavyofikiria, unakuta mtu anafanyiwa vituko mpaka basi tena wasivyokuwa na haya hawa spishi za kiume wanakuonyeshea wazi kabisaaaaaaaaaaaaa kwamba anatoka nje tena sio na mtu mmoja unakuta kawapanga foleni
kama nini, mana utakuta sms za mapenzi leo kutoka kwa farida ,kesho kwa mwajuma after kesho kwa ana ilmradi kero
tu.
Apart from that home anarudi late,kalewa na matusi na kejeli kibao,dharau ndio usiseme anakuona kama nyanya mbichi vile,na usiombe ukaomba game utasikia nimechoka anajitupa kitandani anakoroma kama mbuzi aliyepaliwa na gunzi la mahindi, wewe unaendelea kuhesabu misumari kwenye dari na nyege zako zimekujaa mpaka kwenye kucha!
Jamani wakina mama pigeni pamba za kufa mtu,pendezeni kwa kwenda mbele ,hizi presha za ajabu ajabu zisiwatese kabisaaaaaaaaaaa wewe tafuta mtu wako unakula naye raha kwa kwenda mbele ati, walahi hata akirudi asubuhi wala mshipa wa nani hii haushtuki.
Ila mashosti msipige kavukavu si mnajua tena Tanzania bila ukimwi inawezekana?