Wanawake tusaidieni kutupa majibu ya hili swala

Wanawake tusaidieni kutupa majibu ya hili swala

Wengi wao kimbilio lao la kurevange ni kutembea na mtu aliye karibu nae, kikubwa huyu mtu anakuwa anamfukuzia hata kabla amjagombana, ila ugomvi unakuwa sababu ya yeye kutimiza azima yake.
 
Mh yaani hata mm ningekuwa naweza ningerevenge, wanaume wanaboa to the maximum sema tu sijui mimi kwa nini siwezi yaani najisikia kichefuchefu kuwaza kutoka na m2 apart from my husband. wanaorevenge nawasapoti tu kama wanaweza acha wafanye kwani ndipo moyo unapopata faraja.
 
My dia hawa viumbe ukiwaendekeza unaweza ukafa cku si zako,Iliyobaki kwa sasa ni kufanya kazi kwa nguvu zote ili kuepuka utegemezi usiokuwa na kichwa wala miguu ,tunza sana na jali sana watoto wako pamoja na yeye,na hata akirudi baada ya cku tatu wala usimnunie mpokee vizuri tu na maji ya moto muandalie na pia uwe unamkumbusha tu sweetie huko unakoenda uwe unakumbuka hata kinga jamani!

nahisi huu ujasiri tu mlioupata ktk kueleze hoja ya mtoa mada but nafikir czani kama kuna mwanamke anayeweza kufanya hayo mliyoyasema.
 
Nikitembea na mwanamme mwingine ni mm nimeamua kwa matakwa yangu na sio eti na revenge, wanaume ukiwa revenge utatembea na wangapi, maana wao wanaona kama haki yao kuwa na mabibi wengine, ndio mjue siku hizi dunia imebadilika sana sana ,kuweni makini mrudishe mapenzi kwa wake zenu muone kama kutakuwa na kokoro
 
Asante... imetulia

Nani kakwambia revenge lazima urushe ngumi bana...ni kwakujipa pumziko so huyo mume aone asione haisumbui so long yeye mwanamke kapata tulizo..na impact utaiona tu maana kitabia ataanza kutokukujali nahilo huwaumiza sana spishi ya kiume
 
Inawezekana. Maana hata mie tukigombana na wangu, ndo huwa namukumbuka yule wa zamani za kale.
 
Mi naona ni bora kumwambia ukweli kwanini ufiche kama unaficha unaweza kuukwa ugonjwa. Kama utakaa miezi minne bila kitu na unalala kitanda kimoja nadhani huyo hakuhitaji ni bora ukaangalia njia nyingine kwani kupenda na kupendwa kupo siku zote. Tafuta akupandae kwa haki usiibe maana utatafuta maradhi
NB kama utakaa miezi minne bila sababu ya msingi mfano uzazi, ugonjwa,masomoni,nk na unalala kitanda kimoja basi nadhani ni ukatili wa hali ya juu ya jinsia yeyote. DAWA ya tatizo ni kuongea na si kumnyima mwenzio haki yake hata kama amekukosea vipi na pia dawa si kutoka nje maana utaleta maradhi na kuwaacha watoto wenu yatima. Ni bora busara ikatumika maana katika binadamu kuna wenye tabia za wanyama mbalimbali kama Pimbi, Nyani, nguruwe,fisi, simba,kenge,samaki,kondoo, nk.
 
Mother f**** Thats the babilone idea hasa napoona mwanamke ndo anayetetea kupoteza hiki kizazi kwa kusuport umalaya!!!!
Kaanza nani mchezo mchafu?
Siku zote mlikua mnadhani wanawake wajinga na mtaendelea kuwatenda.WANAWAKE WAMECHOKA KUBEBA MZIGO MZITO WA NDOA..
Sasa mnaambiwa ukweli unauma?
Kawakanye wanaume wenzio ili mchezo mchafu uishe.Vinginevyo kweli kizazi kitapotea maana wanawake wamechoka.
 
smtmz nyie ni source...bt y nat ka ww unatoka na 2meachana kwann na mim nctoke
 
Back
Top Bottom