Mi naona ni bora kumwambia ukweli kwanini ufiche kama unaficha unaweza kuukwa ugonjwa. Kama utakaa miezi minne bila kitu na unalala kitanda kimoja nadhani huyo hakuhitaji ni bora ukaangalia njia nyingine kwani kupenda na kupendwa kupo siku zote. Tafuta akupandae kwa haki usiibe maana utatafuta maradhi
NB kama utakaa miezi minne bila sababu ya msingi mfano uzazi, ugonjwa,masomoni,nk na unalala kitanda kimoja basi nadhani ni ukatili wa hali ya juu ya jinsia yeyote. DAWA ya tatizo ni kuongea na si kumnyima mwenzio haki yake hata kama amekukosea vipi na pia dawa si kutoka nje maana utaleta maradhi na kuwaacha watoto wenu yatima. Ni bora busara ikatumika maana katika binadamu kuna wenye tabia za wanyama mbalimbali kama Pimbi, Nyani, nguruwe,fisi, simba,kenge,samaki,kondoo, nk.