Wanawake: Ukiona mume wako anakusumbua mara kwa mara anahitaji tendo la ndoa, shukuru sana

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Kwa kizazi hiki na miaka hii, ukiona mume wako anakusumbua mara kwa mara anahitaji tendo la ndoa, shukuru sana, ikiwezekana mpongeze. Nakwambia kuna wenzako wanaishi na mume nyumba moja kitanda kimoja tena wanalala bila nguo lakini jamaa kanyamaza tu, na wife akiamua kunyamaza basi wanaweza kugonga miezi ya kuhesabu, wala baba mlipa ada haoni shida yoyote.

Nakwambia ukisumbuliwa sumbuka, kuna wanaotamani kusumbuka ila hawasumbuliwi. Shauri yako #ChrisMauki
 
Sababu ya akili za kimasikini tu. Mtu ambaye anaamua kukukomesha kwa style hiyo hajitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…