Wanawake: Ukiona mume wako anakusumbua mara kwa mara anahitaji tendo la ndoa, shukuru sana

Wanawake: Ukiona mume wako anakusumbua mara kwa mara anahitaji tendo la ndoa, shukuru sana

Kwa kizazi hiki na miaka hii, ukiona mume wako anakusumbua mara kwa mara anahitaji tendo la ndoa, shukuru sana, ikiwezekana mpongeze. Nakwambia kuna wenzako wanaishi na mume nyumba moja kitanda kimoja tena wanalala bila nguo lakini jamaa kanyamaza tu, na wife akiamua kunyamaza basi wanaweza kugonga miezi ya kuhesabu, wala baba mlipa ada haoni shida yoyote.

Nakwambia ukisumbuliwa sumbuka, kuna wanaotamani kusumbuka ila hawasumbuliwi. Shauri yako #ChrisMauki
View attachment 1507209
Hahaha
 
Back
Top Bottom