The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Maisha ya ndo kila mmoja akianza kuact yeye yupo juu zaidi ya mwenzie au yeye ni bora zaidi,basi hapo tena inakua hakuna maisha ya amani wala upendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅sawa Captain wangu😊😊Usinishushe cheo tafadhari mama, mi captain kabisa.
Shosho, spana spana👩🔧 bampa to bampa💥
Wacha wafaidi tu hakuna namna😅😅🥰🥰🥰🥰😘😘Aisee, wakubwa wanafiadi😋😘😍
kwema mkuu[emoji276]
Ndio ndoa nyingi zilivyo kwasasa.Ni kweli mkuu... Kuna ndoa upendo ulishakufa zamani wamebaki kulea watoto tu.
Wacha weee...
My King popote ulipo jua Nakupenda sana mwamba wangu[emoji8][emoji8][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji131]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ulisikia wapi uzi bila picha[emoji23][emoji23] hiyo picha Sasa..🤣🤣
Maisha ya ndo kila mmoja akianza kuact yeye yupo juu zaidi ya mwenzie au yeye ni bora zaidi,basi hapo tena inakua hakuna maisha ya amani wala upendo.
Maisha ya hvyo ni mateso matupu naomba Mungu isijekuwa hvyo kwangu.Ni kweli mkuu... Kuna ndoa upendo ulishakufa zamani wamebaki kulea watoto tu.
Sababu ya akili za kimasikini tu. Mtu ambaye anaamua kukukomesha kwa style hiyo hajitambui.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mkuu unajua comment yako itanifanya niwashwe talaka tatu.Acha kunichoresha kisa Mauki kasema!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unajua comment yako itanifanya niwashwe talaka tatu.
Tumia mkuu nimekuruhusuUwashwe talaka na nani, au nimetumia ID nyingine! [emoji848]
Mwambie akutunze, such a rare treasure 😋😘Wacha weee...
My King popote ulipo jua Nakupenda sana mwamba wangu😘😘🥰🥰🥰💏
Natamani haya maneno umwambie mwenyewe akusikie🥰🥰Mwambie akutunze, such a rare treasure 😋😘
Kiunzi sasa🤣🤣🤣🤣🤣Tukutane hapa tcra baadae kidogo, lazima nimwambie
Wanawake wengi wanatumia njia ya kususia tendo la ndoa kama adhabu kwa waume zao.Wasijesema hawakumbushwi
[emoji38][emoji38]
Bnafsi sjafkia kwenye ndoa ila nimeshaexperience kwnye mahusiano niliyopitia wanawake wengi wanapenda sana kususia tendo mda mwngne bila hata sababu ya msingi. Waliopo kwenye ndoa nadhani wana majibu zaidi kuhusu hili watusaidie.
Relax bae😍Kiunzi!? 🤔
Ni ujinga sana na wanakosea sanaWanawake wengi wanatumia njia ya kususia tendo la ndoa kama adhabu kwa waume zao.
Ikifikia stage hio jua bahariaa atakuwa ameshapata pa kuchuja nje ya box huko.
Akirudi mwepeesiii, hapo ndio mke anaanza kuhanya hanya kwamba mbona jamaa haombi wala haoneshi kumhitaji kimwili. Inawachanganyaga sana. Chanzo ni zile game za kupewa kishingo upande!!!