Wanawake: Ukiona mume wako anakusumbua mara kwa mara anahitaji tendo la ndoa, shukuru sana

😂😂 hiyo picha Sasa..🤣🤣
 
[emoji23][emoji23] hiyo picha Sasa..🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ulisikia wapi uzi bila picha

Maisha ya ndo kila mmoja akianza kuact yeye yupo juu zaidi ya mwenzie au yeye ni bora zaidi,basi hapo tena inakua hakuna maisha ya amani wala upendo.

Ila hii tabia kwa asilimia kubwa ipo kwa wanawake sana tatzo linakuwa kwao kwa uwingi tofauti na kwa wanaume
 
Ni kweli mkuu... Kuna ndoa upendo ulishakufa zamani wamebaki kulea watoto tu.
Maisha ya hvyo ni mateso matupu naomba Mungu isijekuwa hvyo kwangu.

Sababu ya akili za kimasikini tu. Mtu ambaye anaamua kukukomesha kwa style hiyo hajitambui.

Wengi wanajitetea na kauli ya upendo/ndoa sio sex, sikatai ila miezi inakata mnatazamana tu na hakuna tatzo lolote linalozuia mshindwe kufanya tendo. Ni ulimbukeni
 

Uwashwe talaka na nani, au nimetumia ID nyingine! [emoji848]
 
Wanawake wengi wanatumia njia ya kususia tendo la ndoa kama adhabu kwa waume zao.
 
Ikifikia stage hio jua bahariaa atakuwa ameshapata pa kuchuja nje ya box huko.

Akirudi mwepeesiii, hapo ndio mke anaanza kuhanya hanya kwamba mbona jamaa haombi wala haoneshi kumhitaji kimwili. Inawachanganyaga sana. Chanzo ni zile game za kupewa kishingo upande!!!
 
Wanawake wengi wanatumia njia ya kususia tendo la ndoa kama adhabu kwa waume zao.
Ni ujinga sana na wanakosea sana


Hapo ndio mwanzo wa kumpandsha cheo [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…