Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Niende popobawa kusalimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yass je?Tunawapa wapenzi wetu tu.
Kuna huyu huku amedunga mtu kisu👇Kama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya wanawake wanaoishi maeneo haya. Machache yafuatayo yanaweza kutoa taswira:
1. Wanawake wa huku ni "low maintenance" kinoma: Mwanamke wa hapa anakula mihogo ya shilingi 500 aliyoletewa na mume wake bila kulalamika. Mchana, ugali na dagaa pamoja na tembele kutoka bondeni vinakamilisha mlo. Usiku, chapati na maharage zinahitimisha siku. Hakika, hii aina ya mwanamke ni wa kuoa kabisa!
2. Madela ni vazi la taifa: Kila kona utaona madela ya kila aina—yaliyochakaa na yaliyonona. Na kwa yaliyonona, mara nyingi ni ishara ya “fulani kapata bwana mpya.” Vikuku miguuni ni vingi, na tattoo nazo zimekuwa sehemu ya utamaduni wa mitaa.
3. Wanawake wanabeti: Huwezi kuamini, lakini wanawake wa huku wamejaa kwenye madubwi ya wachina kuliko wanaume! Wengine wanavuta bangi bila hata kujificha.
4. Watoto wa kike wanabalehe mapema: Ugumu wa maisha unawasukuma watoto wa sekondari kujitafutia mahitaji kama pedi. Na kama tunavyofahamu, bila maadili imara, wanaume wengi hujikuta wakiwinda kama fisi.
5. Dini na ushirikina vinashikamana: Wanawake waumini wa Katoliki na Lutheran ni wachache mno. Badala yake, wengi wao ni wageni wa mara kwa mara wa mikutano ya Mwamposa na manabii wa aina hiyo. Kinyume chake, fikra za kishirikina zimejikita kiasi cha kuhudhuria makanisa ya "manabii" huku wakihudhuria pia kwa waganga.
6. Masingle mothers ni wengi: Mazingira magumu yamewafanya wengi kushindwa kuishi na waume zao au kubeba ujauzito wakiwa nyumbani kwao. Watoto wao nao wanajifunza mapema jinsi ya kujikimu, wengine wakitumia mbinu kama kufuatilia sherehe za mtaani au kuvizia chakula kwenye nyumba za watu ili wasishinde njaa.
7. Kama kuna jingine linaweza kuongezwa, nawaachia nafasi wadau!
Wapi uko kaka mambo kwa ushahidiKama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya wanawake wanaoishi maeneo haya. Machache yafuatayo yanaweza kutoa taswira:
1. Wanawake wa huku ni "low maintenance" kinoma: Mwanamke wa hapa anakula mihogo ya shilingi 500 aliyoletewa na mume wake bila kulalamika. Mchana, ugali na dagaa pamoja na tembele kutoka bondeni vinakamilisha mlo. Usiku, chapati na maharage zinahitimisha siku. Hakika, hii aina ya mwanamke ni wa kuoa kabisa!
2. Madela ni vazi la taifa: Kila kona utaona madela ya kila aina—yaliyochakaa na yaliyonona. Na kwa yaliyonona, mara nyingi ni ishara ya “fulani kapata bwana mpya.” Vikuku miguuni ni vingi, na tattoo nazo zimekuwa sehemu ya utamaduni wa mitaa.
3. Wanawake wanabeti: Huwezi kuamini, lakini wanawake wa huku wamejaa kwenye madubwi ya wachina kuliko wanaume! Wengine wanavuta bangi bila hata kujificha.
4. Watoto wa kike wanabalehe mapema: Ugumu wa maisha unawasukuma watoto wa sekondari kujitafutia mahitaji kama pedi. Na kama tunavyofahamu, bila maadili imara, wanaume wengi hujikuta wakiwinda kama fisi.
5. Dini na ushirikina vinashikamana: Wanawake waumini wa Katoliki na Lutheran ni wachache mno. Badala yake, wengi wao ni wageni wa mara kwa mara wa mikutano ya Mwamposa na manabii wa aina hiyo. Kinyume chake, fikra za kishirikina zimejikita kiasi cha kuhudhuria makanisa ya "manabii" huku wakihudhuria pia kwa waganga.
6. Masingle mothers ni wengi: Mazingira magumu yamewafanya wengi kushindwa kuishi na waume zao au kubeba ujauzito wakiwa nyumbani kwao. Watoto wao nao wanajifunza mapema jinsi ya kujikimu, wengine wakitumia mbinu kama kufuatilia sherehe za mtaani au kuvizia chakula kwenye nyumba za watu ili wasishinde njaa.
7. Kama kuna jingine linaweza kuongezwa, nawaachia nafasi wadau!
Hao ndio mtaji wa ccm,Kama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya wanawake wanaoishi maeneo haya. Machache yafuatayo yanaweza kutoa taswira:
1. Wanawake wa huku ni "low maintenance" kinoma: Mwanamke wa hapa anakula mihogo ya shilingi 500 aliyoletewa na mume wake bila kulalamika. Mchana, ugali na dagaa pamoja na tembele kutoka bondeni vinakamilisha mlo. Usiku, chapati na maharage zinahitimisha siku. Hakika, hii aina ya mwanamke ni wa kuoa kabisa!
2. Madela ni vazi la taifa: Kila kona utaona madela ya kila aina—yaliyochakaa na yaliyonona. Na kwa yaliyonona, mara nyingi ni ishara ya “fulani kapata bwana mpya.” Vikuku miguuni ni vingi, na tattoo nazo zimekuwa sehemu ya utamaduni wa mitaa.
3. Wanawake wanabeti: Huwezi kuamini, lakini wanawake wa huku wamejaa kwenye madubwi ya wachina kuliko wanaume! Wengine wanavuta bangi bila hata kujificha.
4. Watoto wa kike wanabalehe mapema: Ugumu wa maisha unawasukuma watoto wa sekondari kujitafutia mahitaji kama pedi. Na kama tunavyofahamu, bila maadili imara, wanaume wengi hujikuta wakiwinda kama fisi.
5. Dini na ushirikina vinashikamana: Wanawake waumini wa Katoliki na Lutheran ni wachache mno. Badala yake, wengi wao ni wageni wa mara kwa mara wa mikutano ya Mwamposa na manabii wa aina hiyo. Kinyume chake, fikra za kishirikina zimejikita kiasi cha kuhudhuria makanisa ya "manabii" huku wakihudhuria pia kwa waganga.
6. Masingle mothers ni wengi: Mazingira magumu yamewafanya wengi kushindwa kuishi na waume zao au kubeba ujauzito wakiwa nyumbani kwao. Watoto wao nao wanajifunza mapema jinsi ya kujikimu, wengine wakitumia mbinu kama kufuatilia sherehe za mtaani au kuvizia chakula kwenye nyumba za watu ili wasishinde njaa.
7. Kama kuna jingine linaweza kuongezwa, nawaachia nafasi wadau!
Ndio mkuu sisi huwa hatuuzi. Kwanini tuuze kitu chenye tulipewa bure?Mnagawa kidogo eeh?
Pisi za uswazi hazina hata garama ata bure unapewa.
Sana yaaniMnasingiziwa sana
Kwahiyo unataka kusema nini kwangu 😉😋Ndio mkuu sisi huwa hatuuzi. Kwanini tuuze kitu chenye tulipewa bure?
Karibu uswazi😂Kwahiyo unataka kusema nini kwangu 😉😋
Asante kingine je?Karibu uswazi😂
Utapewa bure, hautauziwa.Asante kingine je?
Saaafi kabisa sema ondoa matumizi ya neno Utapewa iwe nakupea.Utapewa bure, hautauziwa.
Mkuu uko sahihi😃😃😃Uswazi Cheklist
Anavaa kikuku[emoji736]
Katoboa Pua[emoji736]
Anavaa Dela [emoji736]
Anaangalia Movie zilizotafsiriwa[emoji736]
Mkuu uko sahihi[emoji2][emoji2][emoji2]
Uyooo kaone🤣Saaafi kabisa sema ondoa matumizi ya neno Utapewa iwe nakupea.
Pure uswaziiiii utasikiaa sizoniii hahahaha umeliwaaa hapoooUswazi Cheklist
Anavaa kikuku[emoji736]
Katoboa Pua[emoji736]
Anavaa Dela [emoji736]
Anaangalia Movie zilizotafsiriwa[emoji736]
Thi utheme bathi 😉Uyooo kaone🤣