Wanawake uswahilini wanaishi maisha magumu sana jijini hapa; bora hata waliopo vijijini huko

Kuna huyu huku amedunga mtu kisu👇

 
Wapi uko kaka mambo kwa ushahidi
 
Hao ndio mtaji wa ccm,
wape tshirt, kanga, kofia na buku 5 tano.
Wataimba nyimbo zote za kutukuza chama na mama yao.
 
bila shaka maisha ya watanzania ni magumu sana ,labda ni kutokanan na serikali inayongoza.Fikilia tu labda wewe ni mtumishi na mshara wako ni 1m au 2m plus lakini kuna muda unaona kabisa nanga inapaa.sasa jaribu kumfikilia Mtanzania mwenzako ambae kula kwake lazima aende kiwandani kwa mchina alipwe 5k kwa siku ili aishi.
Hapa kama ni mzazi hawezi kuhudumia mahitaji kwenye familia yake lazima kama ni mabinti wapitie wakati mgumu sana.
Shida iko kwa watawala wetu kuzidi kutengeneza umasikini wa watu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…