Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,691
- 2,967
Sema kwamba unatangaza biashara bro, ila sio kwa kiki hiyo uliotumia.Kuna Mchepuko wangu kanitumia hiyo picha, " Etii Bebiii naomba nitumie elfu 11 ninunue chupi"
Mimi nilijua ananua chupi moja kumbe anataka dozen/ package
Hivi kweli package yote hiyo inauzwa elfu 11.????? Hapaana mchepuko wangu hawezi vivaa vichupi vya bei ndogo kiasi icho
Nimemuambia atafute chupi nyingine zinazoghalimu angalau elfu 50. Sio kuvaa kichupi cha 1800/=
Hata Nandy mwenye kabadirika now
Uzi tayari
View attachment 1147618
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile Nandy alikuwa anavaa itakuwa ya laki maana si kwa upana ule
Si za watoto hizo mkuu?
Ohooo🙄Hivi watoto ndio miaka mingapi
Mie chupi Tu mkuyenge huo unasimama.
Sijui Nina matatizo?
Jaribu kuwasaidia uwapunguzie kazi maana inaoneka unawaonea huruma kama sio wivumara ooh hatutaki mawigi..ooh single maza hawafai..ooh tunataka msambwanda...sasa watu mmehamia kwenye chupi..wanawake kazi wanayo
Napataga shida nikipitaga Mitaa ya sinza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mara ooh hatutaki mawigi..ooh single maza hawafai..ooh tunataka msambwanda...sasa watu mmehamia kwenye chupi..wanawake kazi wanayo
Mzee huo ni ugonjwaNapataga shida nikipitaga Mitaa ya sinza.
Kule kuna maduka mengi ya chupi hasa za pink na nyekundu na zimetundikwa.
Nikiwa naenda mjini napenda Sana shekilango road[emoji16][emoji16]
Tusiovaa je?