Wanawake Vaeni chupi za gharama

Wanawake Vaeni chupi za gharama

chupi za ivyo sioni shida hata kdg kama atakua na dozen za chupi 11 hata 40 yani ni sawa atakua na chupi 440 ina maana Ndani ya mwaka wenye siku 365 kila Siku atavaa chupi mpya na hatokaa arudie CHUPI.

shida ya hizo chupi ni pale wanunuaji wanapoanza kuzirudia kuvaa zaidi ya mara 1...yani atleast kypi kama hicho ukikirudia sana ukirudie mara mbili TUkazi yake kwisha maana ukiifua tayari rangi nyekundu hugeuka zambarau..na nyeupe hugeuka ugoro..

kama mpz wako kakuomba umnunulie hiyo package,usimdharau ila unachotakiwa ni kumuonyesha kwamba unamjali..yeye si kakuomba 1 package...wewe double mara 40 mpelekeee then mwambie (beib staki urudie chupi mwaka huu,ukishamaliza kuvaa weka pembeni)

KAMA una ubavu huo utakua "he real deal man"

Ila watu wote wanaoponda vitu vya bei rahisi kwa definition yangu mimi huwaona kama WABAHILI IN NATURE yani unataka umnunulie mchepuko wako chupi ya 50,000 mbili ina mana umpelekee chupi mbili zilizocost 50k then aburuze nazo kwakua ni ORIGINAL BRANDS miezi yote?? yani mpenzi wako unampelekea chupi mbili ndani ya miezi na miezi?? badilika bro

Ni sawa na wale wenzangu namimi ananunua kiatu 100k then ukienda kwenye stand yake ana pair 4 zaviatu..ukimuuliza why una viatu vichache badala akupe jibu anakutwanga swali "unajua bei ya hizo pair 4?" aseee mimi naona huo ni uzumbukuku kwakweli

Nunua viatu kama unaenda kufungua duka..kama ni chupi za wife Unanunua kama unaenda peleka msaada mashuleni maana kitu chenyewe cha bei rahisi atavaa leo then kesho kakitupa...Kiatu cha bei rahisi ntavaa 1 week then Natoa misaada kwa wahitaji...

Muda wote nawaka,wewe umebaki na pair zako 3 kisa ni OG gucci shenziiiiiiii.......Mmeletewa vyupi vya bei rahisi ili muweze badilisha kila siku ,hazijaletwa ili ununue dosen 1 ukae miez 6 hujanunua tena chupi...
 
Maana chupi hizo hazijabuniwa from nowhere,jinsi unavyoiona hapo ilipo Ukae ukijua kuna ORIGINAL QUALITY BRANDS watu wame copy n paste utofauti ni material tu ila muonekano ni the same.

sasa hao marafiki wataomuuliza Chupi kakununulia nani awajibu beib kanunua then wakushushe status,itakua hyo chupi ya mchepuko wako ulimnunulia JANUARY and remember this is JULY brother chupi lazima igine rangi kama dekio la bandani kwa mbwa so kwanini usishushwe status?? una sababu zote za kushushwa status kama mkeo/mchepuko hameremeti kila iitwayo LEO.

The real deal MEN ni wale Daily wake/wapenzi zao wanameremeta kama vile ni siku kuu....if u can afford buying a pant which can cost 50k sidhan kama utashindwa ishi maisha ya nilichoelezea hapo JUU.

Unatakiwa uwe na moyo wa kusaidia wengine..sio uvae kitu mpk kikuchakalie mwilini/mguuni/mkononi wapo wahitaji so kung'ang'ana kuvaa vitu vya bei rahisi hadi vinakuchakalia huo ni ubinafsi...
 
Usafi wa mwili ni muhimu kuliko gharama ya chupi,kuna faida gani demu kuvaa chupi ya milioni wakati hajui kujisafisha! chupi ya gharama sio kiwakilishi cha usafi.
 
Halafu muwe mnatuma na picha za hao michepuko wenu sio mnaleta porojo tu hapa
 
Back
Top Bottom