Wanawake Vaeni chupi za gharama

Wakituhurumia tunawaradharau... Wakitupiga tunalialia na kuwaita wadangaji na wafilisi... Kuna baadhi ya vijana wa kiume hawana shukrani [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kizazi cha Facebook kinawaza mambo ya kijinga tu

Badala ufikirie mengineyo unawaza danga

Eti @Ghalama badala ya Gharama
 
Nani anataka hizo kufuli nimnunulie hiyo dozen ya elf 11
 
Mswahili bana eti hata kutajaga chupi anaona aibu eti tafsida nguo ya ndani. Kutaja mimba vile x2 yani Mmatumbi anaona haya eti mjamzito.

Mswahili anaponiacha hoi anapimtambulisha mme wake ama mke utasikia huyu mista wangu au huyu ni misez wangu eti tafsida hapo.

Laiti hizi nizam za kisoro zingewekwa na kutiliwa mkazo kwenye uchumi na maisha bora na weledi wa kufanya kazi tungekuwa mbali sana
 
Daaah...[emoji3][emoji3]Chuupiii
Kificha utamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…