Wanawake Vaeni chupi za gharama

Kuna kitabu kimoja kinaitwa "Naked women" , hembu kakipitie then ukuje na hizo vitu zako hapo juu, haka kakitabu kameeleza vitu vingi sana , kama nywele, lips, macho na baadhi ya vitu vya mwanamke
 
Ntakipata wapi?
Kuna kitabu kimoja kinaitwa "Naked women" , hembu kakipitie then ukuje na hizo vitu zako hapo juu, haka kakitabu kameeleza vitu vingi sana , kama nywele, lips, macho na baadhi ya vitu vya mwanamke
 
Despite all lazima tumaintein Status zetu. Hivi akiwa na wanawake wenzie wakimuuliza izo chupi umepata wapi, na yy akijibu kaninunulia Bae. Sasa kweli mm ni bae wa kununua dozen elfu 11 kweli?? Hapana
Wakituhurumia tunawaradharau... Wakitupiga tunalialia na kuwaita wadangaji na wafilisi... Kuna baadhi ya vijana wa kiume hawana shukrani [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Ndo nakuuliza nitakipata wapi nijifunze
Hauna nia ya kusoma hicho kitabu, na laiti ungekipitia ndo ungejua ,kwa nn wanawake wanajali sana kuhusu mwili wao ukianzia nywele za kichwa hadi ukucha
 
Napataga shida nikipitaga Mitaa ya sinza.
Kule kuna maduka mengi ya chupi hasa za pink na nyekundu na zimetundikwa.
Nikiwa naenda mjini napenda Sana shekilango road[emoji16][emoji16]

Kumbe ni wewe!

Yaani nilikuona maeneo ya Rombo View unakodolea macho maduka ya chupi.

Kuna duka linaitwa Vunja Bei pia nilikuona.

Una shida sana maana hata mto ngono sijui upo wapi vile
 
Ila vazi la chupi kwa mwanamke lina hadhi yake kwakweli. Ukikuta mwanamke kajipiga taiti haina mzuka kabisa ila kyupi[emoji3] kama hiyo nyeupe yenye tuua ua hapo[emoji39][emoji39]
[emoji125][emoji125][emoji125]

Aya kapige puly
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila vazi la chupi kwa mwanamke lina hadhi yake kwakweli. Ukikuta mwanamke kajipiga taiti haina mzuka kabisa ila kyupi[emoji3] kama hiyo nyeupe yenye tuua ua hapo[emoji39][emoji39]

[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ewaaaaa! Muendee kutokuvaa ina raha sana na access ya papuchi ni rahisi popote pale iwe movie, club etc [emoji41]

Chupi mara moja moja tu kila siku nehii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…