chupi za ivyo sioni shida hata kdg kama atakua na dozen za chupi 11 hata 40 yani ni sawa atakua na chupi 440 ina maana Ndani ya mwaka wenye siku 365 kila Siku atavaa chupi mpya na hatokaa arudie CHUPI.
shida ya hizo chupi ni pale wanunuaji wanapoanza kuzirudia kuvaa zaidi ya mara 1...yani atleast kypi kama hicho ukikirudia sana ukirudie mara mbili TUkazi yake kwisha maana ukiifua tayari rangi nyekundu hugeuka zambarau..na nyeupe hugeuka ugoro..
kama mpz wako kakuomba umnunulie hiyo package,usimdharau ila unachotakiwa ni kumuonyesha kwamba unamjali..yeye si kakuomba 1 package...wewe double mara 40 mpelekeee then mwambie (beib staki urudie chupi mwaka huu,ukishamaliza kuvaa weka pembeni)
KAMA una ubavu huo utakua "he real deal man"
Ila watu wote wanaoponda vitu vya bei rahisi kwa definition yangu mimi huwaona kama WABAHILI IN NATURE yani unataka umnunulie mchepuko wako chupi ya 50,000 mbili ina mana umpelekee chupi mbili zilizocost 50k then aburuze nazo kwakua ni ORIGINAL BRANDS miezi yote?? yani mpenzi wako unampelekea chupi mbili ndani ya miezi na miezi?? badilika bro
Ni sawa na wale wenzangu namimi ananunua kiatu 100k then ukienda kwenye stand yake ana pair 4 zaviatu..ukimuuliza why una viatu vichache badala akupe jibu anakutwanga swali "unajua bei ya hizo pair 4?" aseee mimi naona huo ni uzumbukuku kwakweli
Nunua viatu kama unaenda kufungua duka..kama ni chupi za wife Unanunua kama unaenda peleka msaada mashuleni maana kitu chenyewe cha bei rahisi atavaa leo then kesho kakitupa...Kiatu cha bei rahisi ntavaa 1 week then Natoa misaada kwa wahitaji...
Muda wote nawaka,wewe umebaki na pair zako 3 kisa ni OG gucci shenziiiiiiii.......Mmeletewa vyupi vya bei rahisi ili muweze badilisha kila siku ,hazijaletwa ili ununue dosen 1 ukae miez 6 hujanunua tena chupi...