Wanawake vaeni mavazi ya heshima kwenye nyumba za ibada

Acha kushabikia maovu, swala la uvaaji wa hovyo si la sehemu moja kama ni mdadisi na imani huitaji kuvaa miwani uone bali vinaonekana.
 
Acha kushabikia maovu, swala la uvaaji wa hovyo si la sehemu moja kama ni mdadisi na imani huitaji kuvaa miwani uone bali vinaonekana.
Mkuu, umeni-quote na kunisema nisipostahili😃😃

Mimi naungana nawe kuwa mtoa mada ameisema mahali sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…