EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
STORY ZA WASICHANA KTK SIM
Mary... Hallow mpenzii
Lily.... Niambie my dear
Mary.. Pouwaa za siku jamani
Lily.... Nzuri rafiki Yangu wa damu
Mary.. Jioni nakuja kwako tule Na
kunywa japo wine wanguu
Lily..... Nakusubiri kwa hamuu
mpenziiii
BAADA YA KUKATA SIMU... KILA
MMOJA ANAWAZA
Lily..... Huyu mchawi wa kike Leo
anataka kuja kwangu wala hanikuti.
Mary... Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu
kahaba eti nakusubir Kwa hamuu
nani aende!!!
STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU
John.... Niaje we mbwaa
Sam.... Pouwa kichaa wanguu
John... Upo wap mpumbavu wewe
Sam... Niko hom, we fala Uko wap?
John.. Baadae nakuibukia jambaz
langu tukale bata
Sawa... Pouwaa we ms**nge
nakusubiri
BAADA YA KUKATA SIMU....KILA
MMOJA ANAWAZA
John... Dah baadae nikakae na
mwanangu Sam sijamuona long time
Sam.... John bwana akiwa Na pesa
lazima anitafute mwanaeee.
FUNZO.. Baadhi ya Wasichana
hujifanya wanapendana Kwa maneno
lkn ni Kwa nje tu!! lkn WANACHUKIANA
WAVULANA unaweza Kudhani
hawapendani Kwa Maneno lkn
WANAPENDANA
UWONGO AU UKWELI??
Mary... Hallow mpenzii
Lily.... Niambie my dear
Mary.. Pouwaa za siku jamani
Lily.... Nzuri rafiki Yangu wa damu
Mary.. Jioni nakuja kwako tule Na
kunywa japo wine wanguu
Lily..... Nakusubiri kwa hamuu
mpenziiii
BAADA YA KUKATA SIMU... KILA
MMOJA ANAWAZA
Lily..... Huyu mchawi wa kike Leo
anataka kuja kwangu wala hanikuti.
Mary... Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu
kahaba eti nakusubir Kwa hamuu
nani aende!!!
STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU
John.... Niaje we mbwaa
Sam.... Pouwa kichaa wanguu
John... Upo wap mpumbavu wewe
Sam... Niko hom, we fala Uko wap?
John.. Baadae nakuibukia jambaz
langu tukale bata
Sawa... Pouwaa we ms**nge
nakusubiri
BAADA YA KUKATA SIMU....KILA
MMOJA ANAWAZA
John... Dah baadae nikakae na
mwanangu Sam sijamuona long time
Sam.... John bwana akiwa Na pesa
lazima anitafute mwanaeee.
FUNZO.. Baadhi ya Wasichana
hujifanya wanapendana Kwa maneno
lkn ni Kwa nje tu!! lkn WANACHUKIANA
WAVULANA unaweza Kudhani
hawapendani Kwa Maneno lkn
WANAPENDANA
UWONGO AU UKWELI??