Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Itabidi nipite hapo kabla ya mwaka kuishaAliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.
Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.
Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .