Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke mzuri kama huyu akiwa siyo malaya halafu akikupenda, Wallah mwanaume unatulia unabadilika unakuwa mtu wa kufocuss na future.
Rubi wa bongo Flava mbaya kinoma. Anavyoringa na kujisikia unasema huyu angekuwa mzuri sijui ingekuwaje?Mwanamke akishakuwa anaringa lazima atakuwa anajipenda, anavaa vizuri, anamadoido na mapozi, na swaga za kike.
Jambo ambalo hata kama atakuwa sio mzuri lakini atakuwa anavutia.
Kuna wengine ni Wazuri lakini hawavutii. .
Sasa kama namuona Mbaya yaani sio mzuri na bado havutii hapo nitashangaa kweli
Nadhani utakuwa umenielewa
Mwanamke akishakuwa anaringa lazima atakuwa anajipenda, anavaa vizuri, anamadoido na mapozi, na swaga za kike.
Jambo ambalo hata kama atakuwa sio mzuri lakini atakuwa anavutia.
Kuna wengine ni Wazuri lakini hawavutii. .
Sasa kama namuona Mbaya yaani sio mzuri na bado havutii hapo nitashangaa kweli
Nadhani utakuwa umenielewa
Ni wazuri kweliAliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.
Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.
Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .
Yani uko sahihi 100%Wenyewe sio wachoyo wa K.
Akikuahidi ni saa Tisa mchana.
Ikitokea umebanwa na hujamtafuta.
Yeye mwenyewe anakutafuta huo muda kukukumbusha kua muda umefika ,umeshandaa mazingira ? Anataka kuja.
Kabla hujaoa hao wa mabati, jitahidi ukawaone wabena kwanza mkuuWapenda rangi wote lazima waseme hivyo hasa wanaume kutoka kanda ya ziwa yote, kigoma, na mbeya,
Ni wazuri hawajui kukataa ila ni Wakolofi sana! Warahisi kumkubali Mwanaume pia kuachana na Mwanaume ni haraka na kawaida kwaoNi wazuri kweli
Na hawaringi kweli
Lakini ni kweli pia wanalika kirahisi sanaaa.
Ukioa kule kua makini(unaezapata wakueleweka), ila utasaidiwa sana
Ni uzuri wa sura rangi na nywele. Lakin wengi wamekeketwa. Atleast waliozaliwa Babat mjin unamkuta kakamilika. huwaga na chukia napokutana na Manzi wa design ya mkeketoUkwli usemwe ni wazuri sana hawo mabinti
SaitaaAliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.
Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.
Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .
Mnawaonea sana Wambulu wanguWambulu ukiomba mzigo hakatai ila anakuambia "Chukua tu baabaaa sambi ni sako mwenyeweee".
Nimepewa bure kwanin nikupe kwa helaaaWambulu ukiomba mzigo hakatai ila anakuambia "Chukua tu baabaaa sambi ni sako mwenyeweee".
Kweli auWenyewe sio wachoyo wa K.
Akikuahidi ni saa Tisa mchana.
Ikitokea umebanwa na hujamtafuta.
Yeye mwenyewe anakutafuta huo muda kukukumbusha kua muda umefika ,umeshandaa mazingira ? Anataka kuja.