Kaoe utakoma,wanawake hata wawe wameolewa lakini hawakatai mwanaume yoyote hao ni watu? We acha bana,wapende kwa sura zao,piga sepa...tuulize sisi tunaofanya kazi hapa miaka sasa
Na ukishapiga mala mbili tatu unawakinai,pamoja na uzuri lakini wachafu,inafikia kipindi unaanza kumuona anafanana na papai
Sema wewe utakua ni mgeni,nakusihi usije ukaoa pande hizi
Muongo wewe huna facts...una andika pumba tu sababu kuna bundle za offer
Shida ya nchi hii kijana akiandika/ongea ujinga anapigiwa makofi.
Takwimu ni kama hivyo, Pemba ndio yenye wasichana wengi wanaofika umri wa 25 wakiwa Na bikira Na Dar es Salaam ndio yenye wasichana wachache wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa Na bikira.
1. Pemba 45%
2. Unguja 43%
3. Manyara 27%
4. Mara 26%
5. Tabora 22%
6. Dodoma 20%
7. Geita 19%
8. Shinyanga 16%
9. Kigoma 15.7%
10. Simiyu 15.5%
11. Morogoro 15
12. Kilimanjaro 14%
13. Rukwa 14%
14. Ruvuma 13.7%
15. Mbeya 13.5%
16. Iringa 13.2%
17. Kagera 13%
18. Katavi 12%
19. Mtwara. 11.6%
20. Pwani 11%
21. Njombe 9%
22. Tanga 8.5%
23. Arusha 8.3%
24.Lindi 8%
25. Singida 7%
26. Mwanza 5%
27. Dar es salaam 3%
Ijulikane kwamba huu utafiti utasaidia wazazi kuwaaasa watoto wao kutojihusisha Na mapenzi wakiwa wadogo, pili kuwaepusha na mazingira yanayoweza kuhatarisha usichana wao.
Pia watoto wa kike wajue kuwa si vyema kupenda chips mayai, lift na kupenda alama za juu darasani wakati hawasomi, hayo yanapelekea kuwaondolea usichana wao na kuolewa wakiwa thamani yao imeshuka.
Pili watoto wa kike wanapoteza sana usichana wao wakiwa mashuleni, vyuoni wengine mpaka makanisani.
Pengine watoto wanaruhusiwa kupanga nyumba wakiwa wadogo sana.
Kauli mbiu:
Tokomeza ukatili dhidi ya mtoto wa kike, linda Usichana wake, Mtunze Na mlinde mdogo wako wa kike Na jirani yako wa kike dhidi ya wahuni.
Mungu Ni Mwema
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Mwadunda, Numbisa, Revolution and 12 others
[IMG alt="The Mack"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/435/435300.jpg?1498237806[/IMG]
JF-Expert Member
Mimi mwenyewe nilipoteza usichana wangu barabaran mpaka Leo bado nautafuta
Sent using
Jamii Forums mobile app
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
abbasmullah, Manga ML, hussein boxer and 8 others
[IMG alt="momo2"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/301/301015.jpg?1498892900[/IMG]
JF-Expert Member
Bikra ipi unayo maanisha kwanza
Sent using
Jamii Forums mobile app
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
ndege JOHN, steveachi, LESIRIAMU and 10 others
[IMG alt="be unique"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/392/392694.jpg?1494411929[/IMG]
JF-Expert Member
Safi
Akili za usiku
Thanks Quote Reply
Report
B
JF-Expert Member
Bikra ipi unayo maanisha kwanza
Sent using
Jamii Forums mobile app
kwani zipo ngapi?
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
evansGREATDeal and MTU ALIYE NYIKANI
[IMG alt="momo2"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/301/301015.jpg?1498892900[/IMG]
JF-Expert Member
Nyingi tu
Sent using
Jamii Forums mobile app
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Manga ML and MTU ALIYE NYIKANI
[IMG alt="Majs"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/114/114581.jpg?1689159976[/IMG]
JF-Expert Member
Utafiti umetolewa na nani?
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
evansGREATDeal
[IMG alt="Ligogoma"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/25/25646.jpg?1605770691[/IMG]
JF-Expert Member
Kwa Wapemba inawezekana ni sahihi kabisa, ndipo umuhimu wa kutetea maadili unayoona yanalinda familia yako hata kama wengine wanapiga kelele unapoonekana!! Jamaa wana msimamo kwenye wanachokiamini hatari
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
[Tanga ya Tajiri], Million dollars, Hawaki and 5 others
[IMG alt="Saplaiz"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/217/217073.jpg?1503241524[/IMG]
JF-Expert Member
Duh yani sehem zote ni below 50%
Yes or No
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
evansGREATDeal
[IMG alt="Castr"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/218/218942.jpg?1689518926[/IMG]
JF-Expert Member
Sasa kubaki na ulemavu mpaka umri huo ni sifa?
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
ndege JOHN, boaz mwalwayo and titimunda
[IMG alt="Karot"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/420/420012.jpg?1604808564[/IMG]
JF-Expert Member
Sasa kubaki na ulemavu mpaka umri huo ni sifa?
Kwani mkuu huo ni ulemavu???
Sent using
Jamii Forums mobile app
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Ilitarakimura
[IMG alt="Castr"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/218/218942.jpg?1689518926[/IMG]
JF-Expert Member
Kwani mkuu huo ni ulemavu???
Sent using
Jamii Forums mobile app
Ndiyo.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Karot"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/420/420012.jpg?1604808564[/IMG]
JF-Expert Member
Wadanganye tu ili wakukubalie
Sent using
Jamii Forums mobile app
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
rodrick alexander
[IMG alt="Ndama Jeuri"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/300/300283.jpg?1612186003[/IMG]
JF-Expert Member
Kwa Wapemba inawezekana ni sahihi kabisa, ndipo umuhimu wa kutetea maadili unayoona yanalinda familia yako hata kama wengine wanapiga kelele unapoonekana!! Jamaa wana msimamo kwenye wanachokiamini hatari
Nashkuru kwa kuliona hilo mkuu! Jamaa wapo vzuri,ijapokuwa wanawaozesha mapema vijana wao pindi tu wanapobalehe,nahisi pia inachangia hiyo hali
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
mmteule
[IMG alt="Consultant"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/11/11015.jpg?1497510339[/IMG]
JF-Expert Member
Tanga ilitakiwa iwe inasaidiana na Dar chini kule kuburuza mkia
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
You, [Tanga ya Tajiri], mahakama ya kazi and 1 other person
[IMG alt="ibuo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/182/182606.jpg?1427953166[/IMG]
JF-Expert Member
Hapo ule msemo wa wanume wa dar nmeanza kuutilia mashaka pamoja na kupondwa hivi kumbe ndo wanaongoza kwa kuwapasua wanawake
Sent using
Jamii Forums mobile app
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Igombe fisherman, Cowman, Magnificaaaal and 1 other person
[IMG alt="Mr Miller"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/411/411449.jpg?1536870331[/IMG]
JF-Expert Member
Bikra ipi unayo maanisha kwanza
Sent using
Jamii Forums mobile app
weweee.!!
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Thread Starter"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/422/422137.jpg?1509629138[/IMG]
JF-Expert Member
wanawak wa pemba thbitishen
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="666 chata"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/131/131357.jpg?1650289974[/IMG]
JF-Expert Member
Dar na Mwanza ni majiji, ngono ipo sanaa mijini kwakua ni jambo ambalo linaeleweka sanaa hadi kwa watoto.
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
mahakama ya kazi and Million dollars
B
JF-Expert Member
Nyie endeleeni kubishana, mimi nipo baharini hivi sasa naelekea Pemba kuchumbia.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
ndege JOHN, kilokiki, boaz mwalwayo and 3 others
1 of 8
Next Last
BoldItalicMore options…
Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview
Font sizeText colorFont familyListAlignment
- Align left
- Align center
- Align right
- Justify text
Paragraph formatStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts
Write your reply...
Post reply
Attach files
Similar Discussions
Share
15 Reactions
Reply
TopBottom
Kaoe utakoma,wanawake hata wawe wameolewa lakini hawakatai mwanaume yoyote hao ni watu? We acha bana,wapende kwa sura zao,piga sepa...tuulize sisi tunaofanya kazi hapa miaka sasa
Na ukishapiga mala mbili tatu unawakinai,pamoja na uzuri lakini wachafu,inafikia kipindi unaanza kumuona anafanana na papai
Sema wewe utakua ni mgeni,nakusihi usije ukaoa pande hizi
JamiiForums
https://www.jamiiforums.com › pag...
Pemba yaongoza utafiti wa wasichana wanaobaki na bikra kwenye umri wa ...
14 Aug 2017 — Utafiti kila mkoa juu ya watoto wa kike wanaojitunza. Utafiti huu umehusu wasichana wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa bikira(Virginity ...
Endelea kutetea hoja yako baada ya kusoma hii.
Missing:
ngingi | Show results with: