Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Rangi sio uzuri nafikiri hawaelewi🚮Wapenda rangi wote lazima waseme hivyo hasa wanaume kutoka kanda ya ziwa yote, kigoma, na mbeya,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rangi sio uzuri nafikiri hawaelewi🚮Wapenda rangi wote lazima waseme hivyo hasa wanaume kutoka kanda ya ziwa yote, kigoma, na mbeya,
Wewe ni mwanaume ba mdogo.Mambo gani?
Nina rafiki zangu wengi hawana na nishawaona live na hata hawajifichi japo wanalalamika wazazi kuruhusu wafanyiwe hivyo
Utakuwa ulikulia na kuzaliwa vijiji vya mikoa ya kusini huko ndani ndani na sasa unaanza kuingia kuingia vimji vidogo vidogo unaanza kubaha je ukiingia kwwnye majiji si utaweka chupi kichwani kwa mshangao.... Karibu mjini, ni mimi hapa Mwenyekiti wa wazee wa daslam.Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.
Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.
Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .
Sitokei hizo Kanda lakini napenda sana wenye rangiWapenda rangi wote lazima waseme hivyo hasa wanaume kutoka kanda ya ziwa yote, kigoma, na mbeya,
Ahadi ni deni mkuu, yanini uahidi km hutaweza kutimiza?! 😄Akikuahidi ni saa Tisa mchana.
Ikitokea umebanwa na hujamtafuta.
Yeye mwenyewe anakutafuta huo muda
Njemba wa Njembanga.Inaonekana ushachakata sana mbasusu za hawa madem ba mdogo?
Mwanaume ni mwanaume tu hawezi kujificha.
Lloyd Munroe Dr hyperkid Chaliifrancisco njemba El njembaa
Bado jamii yetu inatukuza rangiRangi sio uzuri nafikiri hawaelewi🚮
OkSitokei hizo Kanda lakini napenda sana wenye rangi
Wahaya pia waungweHao ni Sawa na Wanyaturu wa Singida tabia zao wanafana
Bado jamii yetu inatukuza rangi
Cc: CountrywideInaonekana ushachakata sana mbasusu za hawa madem ba mdogo?
Mwanaume ni mwanaume tu hawezi kujificha.
Lloyd Munroe Dr hyperkid Chaliifrancisco njemba El njembaa
Nakubaliana na wewe Mkuu, watu wengi wana stori za kusimuliwa tu. Ila Wairaqw naweza sema ni moja ya kabila lenye misimamo sio kawaidaKwa taarifa yako kuna Wairaq wana misimamo kuliko unavyofikiri
Wanamsimamo katika kugawa chiu.. huwezi mpangia yuchi yake akupe wewe tuu, lazima na wezako watapata hapo.Nakubaliana na wewe Mkuu, watu wengi wana stori za kusimuliwa tu. Ila Wairaqw naweza sema ni moja ya kabila lenye misimamo sio kawaida
Doxy ni dawa za nini?kuwa karibu na muuza duka la dawa akikwambia namna doxy zinavyouzika wala hutawatamani
Wachungu kwa maana ya uchoyo wao wa mbususu?Hao wanawake wa babati - manyara ni wazuri sana kwasura na wanatamanisha kweli kuweka ndani , ila ikumbukwe wazi vipochi manyoya vyao ni vichungu sana amini na waambieni na usipo kuwa mwangalifu unaweza ukateketea kwa uchungu wa kipochi nyoya .
Nipo hapa chugastani ila naendaga huko babati kuosha macho ila ni wachungu haswa japo wazuri sana.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ila wana huruma kupitiliza, neno NO halipo kwenye kamusi yao.Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.
Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.
Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .