Wanawake wa Dar es Salaam mmenisikitisha na kunihuzunisha sana. Kujishebedua kote huko kwanini Ilihali mnalala mbavu za mbwa?

braza ww c ndo uliibiwa na malaya wa 5N??.. maana naona hamna umbali sana na mitaa hyohyo unayojinyofolea.
 
Vema uwe una hariri uchoandika kabla ya kuposti!
 
Ila sijui tatizo ni nini haswa ila kila mtu wa mkoani akina Dsm lazima atazungumzia Mlimani City..yani jamaa wa mikoani na Mlimani City ndo wanaonaga kama vile wameshakua wajanja hahahaha
awali ni awali ndugu miaka ya 2010 nikiwa huko chuo pale mlimani city ndo ilikua kiwanja hatari...
 
hahaha asante sio hapo mlimani park ni kwa huku chini pembeni kabisa ya barabara ya kwenda mawasiliano ila mkabala na mlimani city baada ya kuvuka barabara sijui hi5 sijui pin5 hata sipakumbuki hapo
 
KWANZA NAPENDA NIWAOMBE RADHI WADAU MLIOKUWA MNASUBIRI MUENDELEZO! KIFUPI WAKATI WA ASUBUHI NA MCHANA NAKUWA BUSY NA SHUGHULI ZA MAISHA NA KAZI NDO MAANA NASHINDWA KUMALIZIA HATA JIONI NIKIWA HOME MAMBO MENGI ILA BADAE YA LEO KWENYE SAA MOJA MBILI HIVI SAA ZA EAT NITAKUWA NIMEMALIZA MUENDELEZO ASANTENI
 
Ikiendelea mtoa mada unishtue usijekuwa unsniongelea mm [emoji38][emoji38]
usikose badae kwenye saa moja au mbili hivi saa za afrika mashariki...hahaha kama ni wewe nipe ile code kwa DM nilokugea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…