Wanawake wa Dar es Salaam mmenisikitisha na kunihuzunisha sana. Kujishebedua kote huko kwanini Ilihali mnalala mbavu za mbwa?

awali ni awali ndugu miaka ya 2010 nikiwa huko chuo pale mlimani city ndo ilikua kiwanja hatari...

Lakini kipindi hicho kulikuwa hakuna bar maeneo hayo inayopiga karaoke mpaka hapo ushakuwa muongo bar kubwa ilikuwa catalunya
 
Ngoja nisubiri
 
Lakini kipindi hicho kulikuwa hakuna bar maeneo hayo inayopiga karaoke mpaka hapo ushakuwa muongo bar kubwa ilikuwa catalunya
wewe ndo huelewi kitu wapi nimesema kuwa ni miaka 2010!? hapo nimesema nilisoma..hii story ndugu yangu ni mwaka huu 2019 mwezi wa kwanza!
 
Unatumia simu gani ? Tuanzie hapo kwanza 🤔
 
Mbona imekuwaa fashion story zenu kuzigeuzaa kuwaa series Nani kawalogaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…