Wanawake wa Dar es Salaam mmenisikitisha na kunihuzunisha sana. Kujishebedua kote huko kwanini Ilihali mnalala mbavu za mbwa?

nokia ya tochi mkuu! unadhani mm ni ka wewe mwanaume wa Dar simu ya milioni ila umekopa salio la 500..mm simu yangu ya elfu 20 tu nipe namba nikupe salio
Woii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila sijui tatizo ni nini haswa ila kila mtu wa mkoani akina Dsm lazima atazungumzia Mlimani City..yani jamaa wa mikoani na Mlimani City ndo wanaonaga kama vile wameshakua wajanja hahahaha
Yani wangeenda kwenye ma mall ya nyerere road kule wangedata au dar free market
 
Aisee safi sana jamaa!! Nakupongeza sana, ulijitoa kumsaidia huyo dada Mungu akuongeze ulipopungukiwa. The flow of your story is clear and very interesting.
much obliged your honour! thank you..we are humans and to save mankind is our first obligation!...
 
Yani wangeenda kwenye ma mall ya nyerere road kule wangedata au dar free market
sihitaji kujua kote huko mimi huwa napenda kwenda pale napopata mahitaji yangu tu hata iwe shambani. Naomba nina mkutano Dar early October nikutafute unipeleke huko dar free market nk..deal!? ila uwe female...haha
 
we si umesema umesoma dar mbona vitu basic kabisa huvijui
 
we si umesema umesoma dar mbona vitu basic kabisa huvijui
ndugu mimi nimesoma hapo mlimani...na nilikua naishi mitaa ya survey na kijitonyama hostel...kwa hiyo maisha yangu ni kama yakawa triangle...nimetoka chuo basi mitaa ya sinza mlimani city hivi au mwenge au posta kisha ubungo hivi kisha chuo ndo maisha nimeishi miaka minne hapo...tatizo mm huwa sinaga hali ya kwenda tu mahali kisa mahali muhimu kwangu naangaliaga uhitaji..kwa nn niende nakosa nini nilipo basi...
 
Huu usanii nilishawahi jaribu, lakini nilishindwa niliwasha moto usiku wa manane kuelekea alfajiri.
haha inahitaji moyo sana ila kama simba ni vema ukajifunza pia kuweza kutokula nyama! ni suala la self discipline tu...haha mimi nishaweza hivi mara sita
 
haha inahitaji moyo sana ila kama simba ni vema ukajifunza pia kuweza kutokula nyama! ni suala la self discipline tu...haha mimi nishaweza hivi mara sita
Mihemko tofauti hakuna cha self discipline.
 
Uzi mreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefu kama Isidingo
 
yaani afadhali sikuwa na akili za kuajiriwa ama kutafuta ajira kama wewe la sivyo ningekuwa naganga njaa kama wewe..aisifiaye mvua imemnyea pole mkuu am too far ahead of you to an extent you cant even compare!

Uliwezaje kuanza hadi ulipofikia hapo leo..? Nini kilikuwa nyuma yako?
 
Mkuu now ni saa nne kasoro dakika 2 malizia basi hi chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…