Wanawake wa Dar es Salaam mmenisikitisha na kunihuzunisha sana. Kujishebedua kote huko kwanini Ilihali mnalala mbavu za mbwa?

Mkali wa riwaya wewe...
 
Hatimae Kiduku Lilo baada ya kuuza GX 110 amepata mdogo wake hahahaha
 
yaani afadhali sikuwa na akili za kuajiriwa ama kutafuta ajira kama wewe la sivyo ningekuwa naganga njaa kama wewe..aisifiaye mvua imemnyea pole mkuu am too far ahead of you to an extent you cant even compare!
wewe ukisikia ajira unajua ni kuajiriwa tu una akili ndogo sana usiniquote tena sina muda wa kubishana na airhead kama wewe.
 
wabongo tatizo kusoma hampendi...kuna hekima na elimu na maarifa zaidi katika kusoma kuliko kuangalia video na picha instagram! mm mwenyewe nimeamka hapa saa kumi na moja asubuhi hii nmesali nimefanya meditation nimeoga na nimeshika kitabu hapa nasoma kidogo kabla sijaanza siku
Uzi mreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefu kama Isidingo
 
Kuna kitu nimejifunza kwenye hili andiko lako
Shukrani sana mkuu
 
Kama uliweza kweli kuishi hostel za Kijitonyama,we bado mshamba tuu.
 
kweli mimi mshamba natoka dhsmba mkoani ila wewe mjanja wa Dar unakuja kwangu kwa PM kuomba nikurushie salio! sasa sijui nani mshamba hapa! wadau huyu ananiita mshamba kwa sababu nimemnyima hela kaona nimempa huyu du 5M kanijia PM kuomba na yeye .mariooo wa Dar huyu si bure.
Kama uliweza kweli kuishi hostel za Kijitonyama,we bado mshamba tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ