Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Nina miaka 27 toka nihamie Dar kutoka mkoani. Wanawake wa mikoani hususani kanda ya ziwa wana adabu sana. Ukikutana naye njiani lazima akupishe. Tofauti na wanawake wa Dar hawakupishi. Ukitembea njiani kwa matumaini kwamha huyo mwanamke wa Dar unayekutana naye na yuko kwente saiti yako akupishe basi tegemea kupigwa kikumbo. Hakupishi! Na akikupiga kikumbo hajali......! Yeye anarndelea na safari zake tu.
Sasa tabu yake ni kwamba akiwa kwenye saiti yake anataka umpishe na akiwa kwenye saiti yako anataka umpishe wewe.
Yaani wajeuri na wanadharau sana.
Fanya utafiti kuanzia leo utakubali ninayokwambia. Kwa kumalizia wanawake wa Dar hata salamu ni mpaka umuanze wewe mwanaume. Ukisubiri akuanze kukusalimia atakupita kama hakujui.
.
Sent using Jamii Forums mobile app