Kazi ya technology ni nini wasiwaonee wivu wanawake
Kwa hapo pongezi mnazo ila tatizo moja ndoa zenu hazidumu kulikoni [emoji23]Wooiii tuna hatari sie watoto wa pwani[emoji23]
Nikirudi n'jinii ntakuja kukukunia naww nazi vein wangu...[emoji23][emoji23][emoji23]Hii yakwko ni mpya
Wakati na wao wakirudi nyumbani hawashiki zaidi ya kijiko kupeleka mdomoni , sijui tatizo niniSijui wivu wanaotuonea wa nn
Shosti usinkaushe uzazi..ndoa ya nani imevunjika embu nipe mfano😂Kwa hapo pongezi mnazo ila tatizo moja ndoa zenu hazidumu kulikoni [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haaaaa haaaaaShosti usinkaushe uzazi..ndoa ya nani imevunjika embu nipe mfano[emoji23]
😂😂😂😂tuacheee kabisaaa...yani usitugusee baah!!!😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haaaaa haaaaa
Nyama huwa wanakata tena wana weza uliza tukukatie katie kabisa, ila ile ni kumjali mteja ili siku nyingine aje tenanyama umewaonea, hiyo huduma inatolewa bure na mabucha mengi mkuu.
Pengine unatumika mashine siko kisu, hivyo dakika 0. tayari wewe unamalizia kuchemsha na kula wali ng'ombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti , ntwara huko ni balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuacheee kabisaaa...yani usitugusee baah!!![emoji23][emoji23]
Mkuu napendaga michango yako..Wanakuja Mkuu Maana Ni Jeshi Kubwa
Wivu tu hakuna kingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walizoe huko mikoani wakija mujiniSijui wivu wanaotuonea wa nn
Nikirudi n'jinii ntakuja kukukunia naww nazi vein wangu...
Mi ni mwanamke ila kiukweli nachefukwaaaa sana....siku hizi tunakatiwa na nyanya na vitunguu tunauziwa,,,
Kuvunjiwa nazi ni kuepusha kununua koroma, hamtaki wake zenu tuwe smart muda wooote jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha lugha ya msaada:
-vipi nyama ukatiwe? (Bucha)
-Niivunje au niikune? (Nazi)
Ndo maana sokoni naenda mwenyewe[emoji85]
Mwanamke kma maji hakuna nyumbani ,ndoo moja ya maji mpaka atafute MTU wa kumbebea,,umbali sasa,,mita 200 kutoka nyumbani
Kukuna pia nitakusaidia usijali (mapenzi ya tanga). Mpaka chicha nakamua tui[emoji85]Kuvunjiwa nazi ni kuepusha kununua koroma, hamtaki wake zenu tuwe smart muda wooote jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kukuna pia nitakusaidia usijali (mapenzi ya tanga). Mpaka chicha nakamua tui[emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapendeko hayo