Wanawake wa Dar mmerogwa na nani?

Wanawake wa Dar mmerogwa na nani?

Na wewe ulikuwa unafanya nini huko?
Hao ni wasichana wa kazi.
Kwani kukata mboga ni nini mpaka uione iiiisu ya kuleta huku?
 
nyama umewaonea, hiyo huduma inatolewa bure na mabucha mengi mkuu.
Pengine unatumika mashine siko kisu, hivyo dakika 0. tayari wewe unamalizia kuchemsha na kula wali ng'ombe.
Nyama huwa wanakata tena wana weza uliza tukukatie katie kabisa, ila ile ni kumjali mteja ili siku nyingine aje tena
 
Sipati picha lugha ya msaada:

-vipi nyama ukatiwe? (Bucha)
-Niivunje au niikune? (Nazi)

Ndo maana sokoni naenda mwenyewe[emoji85]
Kuvunjiwa nazi ni kuepusha kununua koroma, hamtaki wake zenu tuwe smart muda wooote jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuvunjiwa nazi ni kuepusha kununua koroma, hamtaki wake zenu tuwe smart muda wooote jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kukuna pia nitakusaidia usijali (mapenzi ya tanga). Mpaka chicha nakamua tui[emoji85]
 
Back
Top Bottom