BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Duuh wanaooa bongo wana taabu kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina rafiki angu ndo zake. Kwenye kundi alitembea na watu kama kumi. Halafu anakwambia siri yako. Kuna mmoja alikua kama bf wake. Sasa siku akilewa anamwambia yule mwanaume unajua fulani nimetembea nae eeh.
Anasema wao mbona wanapenda kutupanga sisi sasa mimi nimelipizia wanawake wengine [emoji23][emoji23]
Hapo ni mwendo wa chapa ilale.