Wanawake wa Dar wanaongoza kwa kuvaa mawigi na vitambi

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,455
Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi,

Source mimi mwenyewe niko manzese
 
Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi,

Source mimi mwenyewe niko manzese

Ngoja wajee...
 
Dah...hapa kwenye vitambi kuna ukweli.

Kuna haja ya kinadada kubadilika kwa kweli.
 
Sah,
Niko ktk daladala, nimechunguza wadada wanaopita nje kama 20, 15 wana vitambi na 8 wana mawigi.
 
Mi napenda sana wadada wenye vitambi
Hahhaaaaaaaa!.....

Umenichekeshaa saaanaaa!....

Hayaaa kazii ni kwakoo maana unapendaaa weeengii now days!..
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hilo ni kweli na wengi wameenda mbali zaidi wanatokewa michirizi flani utafikiri nyufa.
 
Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi,

Source mimi mwenyewe niko manzese
Bia za ofa michemsho ya viporo na vibudu na mawigi ya kuazima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wenyewe wanakwambia wanaangalia reception (face). Inapakwa make up hata chunusi na harara huzioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…