Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi,
Source mimi mwenyewe niko manzese
Hahhaaaaaaaa!.....Mi napenda sana wadada wenye vitambi
Bia za ofa michemsho ya viporo na vibudu na mawigi ya kuazima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi,
Source mimi mwenyewe niko manzese