ni umbea. Lakini mimi sio mwanamke wa DARKuleta mada si umbeya. Hiyo ndio ukweli na ukweli lazima ukuume
Ni zamani sio sasa mkuu mkoani tuna kila kitu wanawake majasiri na tunapambana pamoja kutafuta chapaa hahahaumesahu kuwa hata wanaume wa mikoani wakizifuma huko lazima waje kutumia na wanawake wa Dar
mkuu mpaka sasa bado ,amini usiamini yaan hao wanawake wamkoani mnao kwa sasa kwa ajili ya kutafuta tu,ila mkizishikaga lazima mje mtumie na wa Dar[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni zamani sio sasa mkuu mkoani tuna kila kitu wanawake majasiri na tunapambana pamoja kutafuta chapaa hahaha
Haha haha yaan nitoke Tanga nafata mwanamke dar[emoji15] au naacha demu wa kimbuli babati nakuja dar! Hiyo zamani mkuu..mkuu mpaka sasa bado ,amini usiamini yaan hao wanawake wamkoani mnao kwa sasa kwa ajili ya kutafuta tu,ila mkizishikaga lazima mje mtumie na wa Dar[emoji2] [emoji2] [emoji2]
mkuu kama unabisha wewe bisha tu ila haya mambo mpaka sasa yanatendeka tena sana mkuu watu wanatafuta mikoani na kuja kila bata na watoto wazuri wa daslama[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haha haha yaan nitoke Tanga nafata mwanamke dar[emoji15] au naacha demu wa kimbuli babati nakuja dar! Hiyo zamani mkuu..
umesahu kuwa hata wanaume wa mikoani wakizifuma huko lazima waje kutumia na wanawake wa Dar
mkuu kama unabisha wewe bisha tu ila haya mambo mpaka sasa yanatendeka tena sana mkuu watu wanatafuta mikoani na kuja kila bata na watoto wazuri wa daslama[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ni kweli mkuu maana wanaume wamikoani wanaenyeka uko ,Ila akija zipata akija dar tu basi wanahakikisha harudi uyooo mkoani mpaka ziishe[emoji2] [emoji2] [emoji2]Sawa kabisa mkuu
kumbe sifa nyingine ya wanawake wa dar ni kuwarubuni wakulima toka vijijini.
Wanaiba ada za watoto wa wakulima ndio maana hakuna maendeleo vijijini.
Hawa wanawake balaa kabisa
Ni kweli mkuu maana wanaume wamikoani wanaenyeka uko ,Ila akija zipata akija dar tu basi wanahakikisha harudi uyooo mkoani mpaka ziishe[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Cheza na watu wote ila sio wanawake wa Dar
umeona eee hahaha tatizo wanawake wa Dar wanajipura sana yaan kwa mwonekano wao tu lazima udate kama mgeni na watu hao,Hawa vidume wa kijijini nao waache ulimbukeni