Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

Wanaopendelea kusuka stahili za mikia ya pweza , usioe
 
Kwa sababu hizi basi mbaki single tu maana kasoro kama zote mnatoa
 
Pole sana kizazi hichi kimeanza kupotea..kilichoanza kuingia sasahivi hayo ni mambo ya kawaida sana..huoni kajala na mwanae..shooshoo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuhus vikuku tenaa bhnaa! Je Kam bwan kakubali nivae
 
Pole sana kizazi hichi kimeanza kupotea..kilichoanza kuingia sasahivi hayo ni mambo ya kawaida sana..huoni kajala na mwanae..shooshoo.

#MaendeleoHayanaChama
Ndio maana wanaishia kuliwa tu hao kina Kajala na mwanae. hivi kweli mtu na akili zako unaweza kuoa Kajala?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]no 7 nimewaza mbalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…