Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
Kudadeki! 😂😂😂Social media Queen kujipost kila afanyalo through the day ingewezekana ata akinya kujipost angeweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudadeki! 😂😂😂Social media Queen kujipost kila afanyalo through the day ingewezekana ata akinya kujipost angeweza
Kuna tattoo unazikubali? Akili tu ya kuwaza tattoos inampa zeroMwanamke ambaye sioi:
-Mwenye mashosti na kupenda ku cling na circle ya mashosti.
-Social media Queen kujipost kila afanyalo through the day ingewezekana ata akinya kujipost angeweza.
-Kikuku na tatoo za ugoko au shingoni, mgongoni is disqualified.
-Njaa oriented, mwanamke wa kuomba omba 24/7 matatizo ya dunia kama anayamiliki yeye tu Mungu aniepushie hilo balaa tu.
-Much know na ubishi wa kijinga.
Sijawahi kufika huko. Mimi si wa hukoMtoto wa kitanga mwenyewe
Heheheh unanikataa sio😛 we mtoto wa kipwaniSijawahi kufika huko. Mimi si wa huko
Hamna tatoo naitaka kwa maana 90% wenye guts za kuweka tatoo ni wavutaji fegi na weed🤩Kuna tattoo unazikubali? Akili tu ya kuwaza tattoos inampa zero
Mwache akalipie mahari chuchunge ili tukutane kwenye viti vya bar😂Miongozo ya wanawake wakutooa imewekwa bayana; hebu tuweke na miongozo ya wanawake wa kuoa; kuna jamaa yangu anasema haijalishi factor nyingine ye akipata bikira mapema tu anaenda kulipa mahari.
Nafikiri factor moja kubwa ya kuoa ni bikira. Japokuwa hapa inaweza kuwa mmoja kwa elfu so its a fact wote hatuwezi pata mabikira.
Tatizo hiloKudadeki! 😂😂😂
ishi nae mjuba🤩Njoo ipo wazi.
Mimi mluguruHeheheh unanikataa sio[emoji14] we mtoto wa kipwani
Mwee kumbe ntoto wa Kinole 😛 au mgeta? Mluguru pekee uliostaarabika toka nawafahamu maana nimeishi nao wengi katika ukuaji!Mimi mluguru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke ambaye hata akijikata na kiwembe wakati wa kukata kucha anapost mitandaoni...
Utasikia "MAOMBI YENU WADAU"
Qumamaye,sio wa kuoa nayeye
Mkuu hii NB nitaikumbuka miaka na miakan. unayemuoa kwa kumhurumia!
NB: PENZI NI PENZI, ... HURUMA MWENZIE MSAADA!
Mluguru wa bomaroad [emoji23][emoji23][emoji23]Mwee kumbe ntoto wa Kinole [emoji14] au mgeta? Mluguru pekee uliostaarabika toka nawafahamu maana nimeishi nao wengi katika ukuaji!