Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😅😅😅Nawajua vizuri nina uzoefu nao for 20yrs.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ulikuwepo. Alikua na msambwanda hatari. Ila hakua na maajabu na ukichanganya kile kisirani chake pale hotelini ndio akanikata stim mazima!!!
Kwanini unatoka na mama ntilie? Unataka ukiishiwa uwe unakula bure?Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.
Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.
Na wengine wanakuwa maarufu Sana.
Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye restaurant inayovuma Kwa upishi labda wa pilau au Biriani au chochote kile...inakuwa kama mtu "kachokozwa"...
Ni mwendo wa kuponda na kukosoa mapishi mwanzo mwisho.
Utasikia viungo vimezidi Sana au pilau hili bado Sana kuna kitu hakija kaa sawa..mara hivi mara vile.......yaani unaweza kukuta ulipompeleka mtu anasifika mji mzima lakini yeye kazi "kukosoa Tu"....na sometimes mapishi yake unayajua hata robo haingii.
Huwa inanishangaza Sana wanawake wa aina hii tatizo lao ni insecurity au wivu?
Hata kama ulipoenda Kula kweli umekuta chakula kinakasoro huwezi Kula ukaenda zako bila kukosoa ...?..au kukosoa ndo kunafanya wewe uonekane unajua sana?
Kinacho nishangaza wako Wengi wenye tabia hii.
Mnaenda sehemu badala ya Ku enjoy Tu chakula au mandhari mtu anakuwa busy Sana kutafuta makosa ama ya chakula au watoa huduma..... wanawake wenye hii tabia wanaboa sana.
Wapo wengi kweli WA hivi .Usiombe ukutane na mshangazi ambao upo toxic! Nilikutana na mmama wa dizaini hiyo yani nilijuta. Nimemtoa out, hata msosi haujafika anaanza kuponda wahudumu na kuwafokea.
Ilikua ni restaurant flani classic huko kanda ya ziwa, ukiagiza menu wanaenda kukuandalia kabisa unavyotaka wewe kwahyo inabidi usubiri kama dk15-20 ili uletewe msosi wako.
Basi nikaagiza maji. Yakaletwa maji ya Dasani! Akaanza kumfokea muhudumu, "hoteli gani hii hamna maji ya kilimanjaro!!!". Yule dada akamjibu kistaarabu tu "madam tunayo nakuletea" akaenda kumchukulia.
Moyoni nikawa najisemea tu, leo nimeyakanyaga!!! Sipendi mtu anaemfokea muhudumu. Order ikakamilika. Nikaletewa wali na samaki sato mkubwa sana na juice ya nanasi. Yeye aliagiza chips akaangiwe na mayai matatu pembeni, aletewe na sato mkubwa! Mimi na njaa zangu nikawa nafakamia tu msosi wangu huku nikienjoy taratibu.
Mwenzangu nikaanza kumuona anazipekua pekua zile chips kama takataka yani, huku anaponda sijui zimekauka sana. Wakati mm naona ziko poa tu. Akawa anamdonoa donoa yule samaki na kulalamika hana ladha. Dah! Akaita muhudumu akaanza kumfokea wamepika vibaya! Yani aibu niliona mimi. Tatizo nilikua na upwiru hatari.
To cut the story short. Baada ya tukio lile yule madam alikula block!
Labda aliona umesifia Kwa kukulazimisha🤣Alhamdulillah basi Mie niko tofauti, Jana Baba K alinipeleka sehemu akaniagizia chapati, nikala nikazisifia ni nzuri....niliuona mshangao usoni mwake hakutegemea, maana yeye mwenyewe huwa ananisifia napika chapati nzuri kuliko yeyote🤣
Unafanyaje? Unakula chakula na mpishi?Muwe mnafanya kama mimi qudadadadeq.....[emoji1787]
The Boss nitoe mimi out...nakulaga kama nina njaa ya wiki. Au hiyo nayo hutaki [emoji1787]Wapo wengi kweli WA hivi .
Anadonoa donoa chakula na ulalamishi kibao ....utasema yeye anajua kupika Sana kumbe magumashi
Kumbe tiamaji tia maji, watu wa hivyo wengi wamekulia tabutabu, Maisha hayo wamekuta ukubwani ya kwenda kula kwa mahotel au restaurant.
Na huyo mkosoaji ukimwambia akuandalie chakula anatoa kituko. Mbombo ngafuSiku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.
Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.
Na wengine wanakuwa maarufu Sana.
Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye restaurant inayovuma Kwa upishi labda wa pilau au Biriani au chochote kile...inakuwa kama mtu "kachokozwa"...
Ni mwendo wa kuponda na kukosoa mapishi mwanzo mwisho.
Utasikia viungo vimezidi Sana au pilau hili bado Sana kuna kitu hakija kaa sawa..mara hivi mara vile.......yaani unaweza kukuta ulipompeleka mtu anasifika mji mzima lakini yeye kazi "kukosoa Tu"....na sometimes mapishi yake unayajua hata robo haingii.
Huwa inanishangaza Sana wanawake wa aina hii tatizo lao ni insecurity au wivu?
Hata kama ulipoenda Kula kweli umekuta chakula kinakasoro huwezi Kula ukaenda zako bila kukosoa ...?..au kukosoa ndo kunafanya wewe uonekane unajua sana?
Kinacho nishangaza wako Wengi wenye tabia hii.
Mnaenda sehemu badala ya Ku enjoy Tu chakula au mandhari mtu anakuwa busy Sana kutafuta makosa ama ya chakula au watoa huduma..... wanawake wenye hii tabia wanaboa sana.
Nina miaka 9 na mwanaume wangu hajawai kula chakula changu.na tupo sana tuWengi wanapika halafu anakushawishi Kwa maneno kuwa kapika vizuri....wakati uki test Tu unaona kabisa mapishi hamna
Mke wang huwa ana tabia hii kabisa ingawaje huwa hafoki foki sana ila huwa anachambua chambua sana chakula mara aseme ni kidogo hela ni kubwa,yaan inabid mim naanza tena kuwatetea hao wenye chakulaUsiombe ukutane na mshangazi ambao upo toxic! Nilikutana na mmama wa dizaini hiyo yani nilijuta. Nimemtoa out, hata msosi haujafika anaanza kuponda wahudumu na kuwafokea.