Wanawake wa hivi Wana shida gani?

Wanawake wa hivi Wana shida gani?

If you have nothing better to show off for yourself, best way to make you feel better is belittling others.

Criticism si kitu cha lazima kila sehemu especially sehemu ambayo opinion zako hazitatumika kujenga…. Kuna watu wako opinionated sana, wanadhani maoni yao ni ya lazima kila sehemu, ni ugonjwa wa kufeel entitled.

Eat, appreciate and go home, or eat, don’t appreciate and don’t come back again, simple.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ulikuwepo. Alikua na msambwanda hatari. Ila hakua na maajabu na ukichanganya kile kisirani chake pale hotelini ndio akanikata stim mazima!!!
Lkn si ulikula mzigo? Af ungelichana live kuwa liache mazereu na ujuaji
 
Nakuunga mkono boss kama mimi hii ni kweli nilienda sehemu moja na mtu tumuite alikuwa mpenzi wangu na ni mpenzi wangu kweli 😀 xa ile tunafika tukaagiza msosi walivyoleta pale mezani ngoja sasa aanze kuongea aliongea kwa kuponda kile chakula had sio vizuri wakati me nikikumbuka anayoyapika nabaki nacheka moyoni kwa anachokiponda ye anapika nyanya kama amezipanda kwenye mtongono [emoji4]
 
Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.

Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.

Na wengine wanakuwa maarufu Sana.

Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye restaurant inayovuma Kwa upishi labda wa pilau au Biriani au chochote kile...inakuwa kama mtu "kachokozwa"...
Ni mwendo wa kuponda na kukosoa mapishi mwanzo mwisho.

Utasikia viungo vimezidi Sana au pilau hili bado Sana kuna kitu hakija kaa sawa..mara hivi mara vile.......yaani unaweza kukuta ulipompeleka mtu anasifika mji mzima lakini yeye kazi "kukosoa Tu"....na sometimes mapishi yake unayajua hata robo haingii.

Huwa inanishangaza Sana wanawake wa aina hii tatizo lao ni insecurity au wivu?

Hata kama ulipoenda Kula kweli umekuta chakula kinakasoro huwezi Kula ukaenda zako bila kukosoa ...?..au kukosoa ndo kunafanya wewe uonekane unajua sana?

Kinacho nishangaza wako Wengi wenye tabia hii.

Mnaenda sehemu badala ya Ku enjoy Tu chakula au mandhari mtu anakuwa busy Sana kutafuta makosa ama ya chakula au watoa huduma..... wanawake wenye hii tabia wanaboa sana.
Mkuu umempeleka mtu mwenye shibeee. Na wakati mwingine nunua chakula kisicho common sana
 
Usiombe ukutane na mshangazi ambao upo toxic! Nilikutana na mmama wa dizaini hiyo yani nilijuta. Nimemtoa out, hata msosi haujafika anaanza kuponda wahudumu na kuwafokea.

Ilikua ni restaurant flani classic huko kanda ya ziwa, ukiagiza menu wanaenda kukuandalia kabisa unavyotaka wewe kwahyo inabidi usubiri kama dk15-20 ili uletewe msosi wako.

Basi nikaagiza maji. Yakaletwa maji ya Dasani! Akaanza kumfokea muhudumu, "hoteli gani hii hamna maji ya kilimanjaro!!!". Yule dada akamjibu kistaarabu tu "madam tunayo nakuletea" akaenda kumchukulia.

Moyoni nikawa najisemea tu, leo nimeyakanyaga!!! Sipendi mtu anaemfokea muhudumu. Order ikakamilika. Nikaletewa wali na samaki sato mkubwa sana na juice ya nanasi. Yeye aliagiza chips akaangiwe na mayai matatu pembeni, aletewe na sato mkubwa! Mimi na njaa zangu nikawa nafakamia tu msosi wangu huku nikienjoy taratibu.

Mwenzangu nikaanza kumuona anazipekua pekua zile chips kama takataka yani, huku anaponda sijui zimekauka sana. Wakati mm naona ziko poa tu. Akawa anamdonoa donoa yule samaki na kulalamika hana ladha. Dah! Akaita muhudumu akaanza kumfokea wamepika vibaya! Yani aibu niliona mimi. Tatizo nilikua na upwiru hatari.

To cut the story short. Baada ya tukio lile yule madam alikula block!
Poleee kwa yaliyokukuta[emoji28]
 
Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.

Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.

Na wengine wanakuwa maarufu Sana.

Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye restaurant inayovuma Kwa upishi labda wa pilau au Biriani au chochote kile...inakuwa kama mtu "kachokozwa"...
Ni mwendo wa kuponda na kukosoa mapishi mwanzo mwisho.

Utasikia viungo vimezidi Sana au pilau hili bado Sana kuna kitu hakija kaa sawa..mara hivi mara vile.......yaani unaweza kukuta ulipompeleka mtu anasifika mji mzima lakini yeye kazi "kukosoa Tu"....na sometimes mapishi yake unayajua hata robo haingii.

Huwa inanishangaza Sana wanawake wa aina hii tatizo lao ni insecurity au wivu?

Hata kama ulipoenda Kula kweli umekuta chakula kinakasoro huwezi Kula ukaenda zako bila kukosoa ...?..au kukosoa ndo kunafanya wewe uonekane unajua sana?

Kinacho nishangaza wako Wengi wenye tabia hii.

Mnaenda sehemu badala ya Ku enjoy Tu chakula au mandhari mtu anakuwa busy Sana kutafuta makosa ama ya chakula au watoa huduma..... wanawake wenye hii tabia wanaboa sana.
Anakosoa ili umuone yeye ni bora zaidi.Huyo ni mjanja mana anajua akisifia utaziea kwenda huko na utamshusha CV zake
 
Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.

Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.

Na wengine wanakuwa maarufu Sana.

Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye restaurant inayovuma Kwa upishi labda wa pilau au Biriani au chochote kile...inakuwa kama mtu "kachokozwa"...
Ni mwendo wa kuponda na kukosoa mapishi mwanzo mwisho.

Utasikia viungo vimezidi Sana au pilau hili bado Sana kuna kitu hakija kaa sawa..mara hivi mara vile.......yaani unaweza kukuta ulipompeleka mtu anasifika mji mzima lakini yeye kazi "kukosoa Tu"....na sometimes mapishi yake unayajua hata robo haingii.

Huwa inanishangaza Sana wanawake wa aina hii tatizo lao ni insecurity au wivu?

Hata kama ulipoenda Kula kweli umekuta chakula kinakasoro huwezi Kula ukaenda zako bila kukosoa ...?..au kukosoa ndo kunafanya wewe uonekane unajua sana?

Kinacho nishangaza wako Wengi wenye tabia hii.

Mnaenda sehemu badala ya Ku enjoy Tu chakula au mandhari mtu anakuwa busy Sana kutafuta makosa ama ya chakula au watoa huduma..... wanawake wenye hii tabia wanaboa sana.
Tàtizo pakiwa na pisi kali kumzidi ñdo utachoka!
 
Back
Top Bottom