Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

You gotta be really careful what you share in private, there's no privacy at all. Some are headless chicks, wanaweza kuambiana upuuzi hadi ushangae. Kuna mmoja huyo kila nikikumbuka natamani nikutane nae smwh nimle konzi balaa.

Can't be too careful, specially humu. Nimeshawapotezea watu kadhaa, ambao pengine walikuwa na genuine intents, ila ndio huwezi kujua.
 
Wengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.
Kama zee moja humu jitu zima yani kuchat nalo tena kikawaida basi litascreenshot wee litatuma kwa watu, watu wengine sijui akili zipo kwenye mattako, kuna mimtu inakera
 
Kama zee moja humu jitu zima yani kuchat nalo tena kikawaida basi litascreenshot wee litatuma kwa watu, watu wengine sijui akili zipo kwenye mattako, kuna mimtu inakera
Kumbe mpk wanascreenshot
 
Tena kuwa makini ntakuambia jina la huyo jamaa anapenda kujifanya mtu wa watu, rafiki, atakupa umbea wa watu na screen shot juu.... Hata ukimwambia mambo ana screen shot afu hata huwezi dhani ni jinga hivo
Aisee yaani umeniogopesha mama angu kumbe kuna mijitu kama mitoto umu
 
Back
Top Bottom